Spika Ndugai ana personality disorder?

Spika Ndugai ana personality disorder?

Nimeomba kufahamishwa kosa alilofanya spika hamtaki kulionesha

Kosa la.Spika ni.kuwa na double standards. Kwanza ile kusifia Lusinde kwa.kuwa hodari wa kutukana Wapinzani hakutakiwa kyiongea,pia ile ya Lusinde kujisifia kwamba analindwa na kitu na kama.kitu hakitamlinda basi atatukana na bado.Spika hakumuonya.

Lusinde alianza kumtukana Mnyika, na aliposimama Mnyika.na akamaliza kuongea the moment anakaa ilisikika sauti Mara mbili ukisema Mnyika ni mwizi wa madini,Mnyika amekuja kuisikia sauti.ile.iliporudia.Mara ya tatu,na Nina uhakika Spika aliisikia vizuri.sana na ndiyo sababu akawa mkali zaidi maana aliyetukanwa ni Mpinzani hana thamani zaidi ya aliyetukana

Alichotakiwa kufanya Spika ni kumtuliza Mnyika na kuomba wasaidizi wake wamqambie nani ametukana maana unaonekana Spika ya MTU aliyetukana,hivyo walijua ni nani ametukana.
 
Nilichokiona kwenye clip ni kwamba ile scene yote ilikuwa kuwatoa Wapinzani kwa njia yeyote ile ili Wizara ya Madini ipite,kitu ambacho Wapinzani Hawa kushtuka.kwba it was programmed issue kwamba Mnyika atukanwe.akikasirika watolewe nje.

Na baada ya hapo nikiona jinsi ambavyo Ndugai alishindwa kucontrol furaha yake baada ya Wapinzani kutoka.Iangalieni.tena mtaona jinsi.walichofanya.

Ndugai anamjua sana MTU aliyetukana maana alimsikia vizuri sana.
 
every personal hve a personality disorder.we have many personal disorder.classfy alizonazo yy
 
Hapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.

baba hutendi haki,una upendeleo wa wazi,unaangalia mtoto yule anamtukana huyu na unaona sawa.Lakini mtoto huyu atakapo mtukana yule unaona si sawa halafu eti unataka heshima WIZI MTUPU.
 
Ni aibu kwa Taifa kuwa na kiongozi wa chombo kikubwa kama bunge mwenye mapungufu makubwa kama joo.tunatarajia nchi ifike mbali kwa kushauriwa na watu kama hawa kweli?? Duh! Siasa zinatufanya tuwe wajinga sana eti anamsifia kibajaji kwamba Ni kiboko!! Kwakweli hatustahili na hatutaki maendeleo.
baada ya huyu supika apewe kibajaji na mlinga ili wanyooshe watu vizuri...hicho ndiyo tunakiweza vizuri
 
Hapa kuna kudharaulika kiti cha spika. Spika ni mtu mkubwa saba katika hii nchi, anashikilia moja ya mihimili mitatu ya dola. Hata kama wewe ni mpinzani na kuna kitu kimekukera heshimu tu kiti cha spika. Kiti cha spika kikiheshimika hata anayekalia kiti hicho atajiheshimu. Linganisha na enzi za Pius Msekwa na Samuel Sitta, kiti cha spika kiliheshimika na spika hakuwa na tatizo na wabunge. leo hii mtu anatukana mubashara bungeni eti spika ni fala au sijui nini... Mara mwingine anakataa kutii amri ya spika mwenye mamlaka yake unategemea nini? Spika nae ni mtu na ana mihemuko yake, lazima afure pale kiti chake kinapodharauliwa. Kwa Suala la Mnyika juzi hekima tu ingetumika. Mnyika angekaa tu kimya kama alivyoamriwa wala asingetakiwa kutoka nje. Tena pale amri ya kutoka nje angejongea mwenyewe nje nani angemgusa? Angeonesha ana hekima na kila mtu angekuwa upande wake. Lakini kwa sasa mtu yeyote anayemtetea mnyika ni kwa sababu tu ya mihemukio ya kisiasa, kiukweli mnyika alidharau kiti cha spika.

Nyie mnao mtetea spika ndio mnaleta mihemko ya uvyama. Spika alichemka, ni mtu wa jazba, na hana hekima hata kidogo. Katika tukio lile la Mnyika utaona kwamba spika aliweka maslahi ya chama chake mbele badala ya kufanya kazi ya uspika ambayo ina mtaka kutoa haki kwa wabunge wote bila kuangalia tofauti ya vyama vyao. Siamini na bado sito amini kwamba spika hakusikia jinsi Mnyika alivyoitwa "mwizi" na baada ya kuchukua hatua pale au kumwambia Mnyika kistaarabu kwamba wanatakiwa wasonge mbele na mjadala kutokana na muda, lakini atalifuatilia suala la yeye (Mnyika)!kuitwa "mwizi" na kuchukua hatua. Angefanya hivyo, siamini kama Mnyika angeendelea kubishana nae, lakini yeye spika alijifanya hakusikia na kuendelea kumdai Mnyika anyamaze na kukaa kimnya. Ule ulikuwa ni upendeleo wa wazi kwa Lusinde, mbunge wa Mtera CCM. Nilitoa pia maoni yangu kuhusu hili suala hapa: Ester Bulaya kupambana na polisi kumsaidia Mnyika
 
Mnyika slimwita Kikwete kuwa ni rais dhaifu kwa sababu walikuwa wakigoma anawakaribisha chai. Kaja mwingine hspendi kujaribiwa sasa alalialia. Ukiambiwa nyamaza unarndelea kuongea ukaambiwa kaaunaendelea kusimama hakuna kilichobaki zaidi ya sergeant-at-arms. Bila kutolewa nje kesho yake twitter zingejaa kumpongeza Mnyika shujaa.
 
Kumbuka aliyesema mnyika mwizi sio spika. vilevile si kila aliyesikia sauti hiyo alijua nani kasema. Cha msingi utaratibu ungefanyika kufuatilia sauti ilitoka kwa nani, kwa teknolojia tuliyonayo angejulikana tu. Isingekuwa busara hata kidogo kusitisha shughuli zingine za bunge na kuanza kufuatilia nani kasema maneno yale.
Kitendo cha mbunge wa ccm kutamka maneno yale( Mnyika mwizi) ni dharau kubwa zaidi kuliko kawaida. Kumbuka Lusinde pia alikuwa anaongea na tena kwa dharau ya kusema wabunge wapimwe(akilenga wapinzani), ikiwa Spika kwa nafasi yake amesikia maneno ya Lusinde, kwanini asimwambie ayafute? Ina maana Spika anakubali kwamba wabunge wapimwe? Tena baadaye anasema Lusinde kiboko yao, wamekimbia wote. Je, bado kwa mtu( kiongozi) wa namna hiyo kuna staha anastahili?
 
Mnyika slimwita Kikwete kuwa ni rais dhaifu kwa sababu walikuwa wakigoma anawakaribisha chai. Kaja mwingine hspendi kujaribiwa sasa alalialia. Ukiambiwa nyamaza unarndelea kuongea ukaambiwa kaaunaendelea kusimama hakuna kilichobaki zaidi ya sergeant-at-arms. Bila kutolewa nje kesho yake twitter zingejaa kumpongeza Mnyika shujaa.
Bora umesema yakweli
 
Mabunge yaliyopita hayakuwa na wabunge mbumbumbu namna hii.
Kweli Lusinde ni kiboko yao kwa sababu alifanikiwa kuwatoa nyumbu nje ya jengo
Tangu mwanzo wa mada ulionyesha hilo ndilo lililoujaza moyo wako.
 
Kitendo cha mbunge wa ccm kutamka maneno yale( Mnyika mwizi) ni dharau kubwa zaidi kuliko kawaida. Kumbuka Lusinde pia alikuwa anaongea na tena kwa dharau ya kusema wabunge wapimwe(akilenga wapinzani), ikiwa Spika kwa nafasi yake amesikia maneno ya Lusinde, kwanini asimwambie ayafute? Ina maana Spika anakubali kwamba wabunge wapimwe? Tena baadaye anasema Lusinde kiboko yao, wamekimbia wote. Je, bado kwa mtu( kiongozi) wa namna hiyo kuna staha anastahili?
Hata Mbunge angeongea vipi ilibidi Mbunge mengine aseme kuhusu utaratibu.

Spika anaweza kumstopisha Mbunge kuongea tu iwapo Kuna mambo very sensitive kuhusu Taifa na usalama wake umeona hapa kuwa ni hatari.

Yale pale yalikuwa ni malumbano ktk ya CCM na Chadema au upinzani Lusinde alikuwa anawatoa ktk reli na kuwatibua na kuwatia hasira tu na upinzani wakaingia mkenge badala ya mujibu hoja ya kupinga alichokuwa anasema kuwa kuomba kwa Spika kutia taarifa kwa mzungumzaji.

Kilichomtoa Nje Mnyika ni Mnyika kubishana na Spika tu wala si hoja nyingine yoyote.

Spika ni kiongozi ulitegemea afanye nini kwa Mbunge anayebishana na kiti na kanuni za Bunge ziko wazi na mbaya zaidi Naibi Spika alitoka kuwakumbusha wabunge matumizi ya kanuni.
 
Back
Top Bottom