Mh ! Spika tunaye
Sikuwahi kusikia ameolewa huyu Mama ingawa ana watoto. Ni mbabe kuliko hata Anna Abdallah. Amejiunga na wale wanaoibomoa CCM unconsciously.
huyu mama mhhhhh...........tatizo kabisa. Let me count and speculate
Mbagala ilipuke
Mgulani (opposite chuao cha uhasibu) ilipuke-though sidhani kama kuna silaha pale
Navy kigamboni ilipuke
Ubungo kibangu ilipuke - Juzi gongo la mboto ilivyolipuka wanajeshi wa kibangu walipakia familia zao na kutoweka kambini
Lugalo ilipuke
Changanyikeni ilipuke
Gongo la mboto ilipuke
Kazi mzumbwi kisarawe ilipuke
kibamba/kiluvya nayo iitike.
Huyu mama haoni wakati umefika jambo hili kuangaliwa upya na ikiwezekana kuhamisha baadhi ya kambi za jeshi maana zimekaribiana sana na makazi ya watu yameongezeka?
Define Dharura katika bunge.
Mwanakijiji na wewe unataka uitwe redio mbao na mkuu wa nchi yako?? Unadhani kuna ugaidi Tanzania?? Unadhani Mkuu anafikiri kama wewe unavyofikiri??
Dharura ktk bunge ni pale mtoto wake supika akifariki ambapo vikao vya bunge vita ahairishwa kwa siku 3 kuomboleza kifo cha mtoto wa supika
Mh!huyu jamaa ni mtata sana,sasa hapa ana maana gani?katika hili nakubaliana naye; siyo jambo la dharura. hivi wanajuaje kuwa siyo ughaidi?
Kama angekufa Fisadi Kikwete na au familia yoyote ya CCM ungesikia wanajadili. Huyu Mama nilishasema kuwa anahitaji mtu wa kumshughulikia mpaka akili zake zika sawa
katika hili nakubaliana naye; siyo jambo la dharura. hivi wanajuaje kuwa siyo ughaidi?
Umejuaje hana mtu wa kumshughulikia ?
katika hili nakubaliana naye; siyo jambo la [B]dharura. [/B]hivi wanajuaje kuwa siyo ughaidi?
Umejuaje hana mtu wa kumshughulikia ?