Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,917
- 23,239
Milipuko ya mabomu Mbagala na gongo la Mboto.
Ajali zilizofuatana kwa tofauti ya miaka miwili kati 2009 na 2011.
Zote mbili zilisababisha vifo vya watu 20.
Hasara kubwa kwa vifaa vya kijeshi na makazi ya raia waliokua karibu na kambi hizo.
Ni mara ya kwanza na pengine ya mwisho kutokea kwa tukio kama hilo.
Hakukua na watu waliowajibika kwa tukio hilo, ishara ya kwamba ni ajali ya kawaida tu ambayo ingeweza kutokea kama ajali nyingine.
Kawaida ya ajali ni matokeo ya makosa ya kibinadamu na pia makosa ya kiufundi (technical problem)
Kwenye ajali hizi ningependa kujua wapi palikuwa na makosa?
Maana wengine wetu tulikuwa bado hatufika mjini bado.