Naona mods hawajaiona,mwenyewe natetemeka hapa nilipo.....hasira hasara!!!!!!!!!!!Wewe!wewe!Ban hiyo unaibip!Msalimie Unigold ee!
Naona mods hawajaiona,mwenyewe natetemeka hapa nilipo.....hasira hasara!!!!!!!!!!!Wewe!wewe!Ban hiyo unaibip!Msalimie Unigold ee!
Hivi hamna kifungu chochote cha katiba cha kumuondoa huyu mama pale, anatia aibu mbaya! Yaani siku ukimuona tu jua kuna jambo limepangwa.
Kisha kula mkong'oto si aende mahakamani akashtaki. Saa hizi anajuwa machungu yanayowakuta maelfu ya wagonjwa wetu.
Nakuombea yakukute na wewe ili uonje machungu.
Ana vaginal candidiasis,nahisi muda mwingi hayuko comfortable ktk kiti
Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?
Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.
Acha upuuzi wako kwanini usiwapeleke Samunge Loliondo kwa Babu? Mbona serikali yenu ya hovyo na dhaifu ilishawatengenezea barabara kuwarahisishia kufika haraka. Istoshe siku hizi wagonjwa wamepungua sana hivyo mtapata huduma fastafasta
Kisha kula mkong'oto si aende mahakamani akashtaki. Saa hizi anajuwa machungu yanayowakuta maelfu ya wagonjwa wetu.
Spika Makinda aache mara moja kulaghai Bunge na Watz kwa ujumla -- kwani wengi tuna uelewa wa mambo kuliko yeye -- hata hizi Kanuni za Bunge anazodai anazisimamia pia tunazifahamu. Anavungavunga tu katika kutoa tafsiri.
Naomba kumuuliza Spika Makinda hivi: Atueleze bila ya kumung'unya maneno lini suala la kupigwa kwa Dr Ulimboka lilifikishwa mahakamani?
Kinachofahamika ni kwamba kesi iliyo mahakamani ni ombi la Mwanasheria Mkuu wa serikali dhidi ya Chama cha Madaktari (MAT) kutaka mgomo wa madaktari utangazwe kuwa batili -- ombi ambalo Mahakama ilikubalia mara moja.
sasa Spika Makinda anapowakatalia Wabunge kuzungumzia suala la kupigwa Dr Ulimboka kwa kusema liko mahakamani -- atuambie ni mahakama ipi, na ni kesi namba ngapi. Labda wengi hatujui.
Mimi naona Spika huyu ni janga la kitaifa -- naona anachangia kwa kasi kulitumbukiza taifa katika farakano.
Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?
Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.
Kiukweli napendekeza wabunge wote kutoka vyama vya upinzani hata kususia bunge,maana sioni mantiki,na wala sioni maana yoyote,kwani pale jambo kubwa kwa maslahi ya watanzania linapopingwa kwa sababu linaweza kuiabisha serikali kwa kutolishughulikia mapema kwangu ni tatizo kubwa.na haya yote yanasababishwa na huyu bibi Kiroboto,ni kabishi haka ka-spika,ni kanafiki ile mbaya,halafu kana-pritend kujua sana kanuni,na wakati mwingine kanagoma tu makusudi bila kuwa na hoja,na haiwezekani spika wa wabunge wote unakuwa na upendeleo wa wazi,na mwisho anaongoza kwa personal interest,mfano kitendo cha kusema mimi sipendi miongozo,pale alipoombwa mwongozo na Mh Mnyika ni kitendo kilichoniuma sana,natamani atokee mbunge akatie mangumi haka kaspika