Spika Makinda atuambie suala la kupigwa Dr Ulimboka liko katika mahakama ipi?

Nadhani kama ni kweli kwamba mojawapo ya kazi ya Bunge letu ni kuongoza Serikali, inaniwia vigumu sana pale Spika anaposhindwa kutamka neno. Aidha, nadhani moja ya tatizo letu kubwa ni; Elimu, kutokuwepo kwa elimu ya kutosha kwa wananchi wetu katika baadhi ya maeneo, watu wamediriki kumchagua mtu asiyestahili kuitwa Mbunge. Nategemea usemi aliotoa Professa Maji Marefu ni hatari sana kwa jamii, kwa nchi na hata kwa wabunge wenyewe. Sina uhakika na nasita kusema kwamba kama aliropoka ama anatabia ya kupayuka ila nahisi inahitajika busara ya kuchunguza matamshi yake mwenyewe (kama Mbunge, Mganga wa tiba mmbadala na mwanasiasa) huenda tukapata majibu ya maswali ambayo hayana majibu dhidi ya tendo alilofanyiwa Dr Ulimboka.
 
Hivi hamna kifungu chochote cha katiba cha kumuondoa huyu mama pale, anatia aibu mbaya! Yaani siku ukimuona tu jua kuna jambo limepangwa.

Ni wabunge kutokuwa na imani nae lakini haiwezekani kutokana na magamba kuwa mengi nashangaa hata wachawi wa nchi hii wanashindwa hata kumloga?
 
Nakuombea yakukute na wewe ili uonje machungu.

Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?

Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.
 
Ana vaginal candidiasis,nahisi muda mwingi hayuko comfortable ktk kiti

Mkuu chunga sana uchangiaji wako humu, kuhusu huyo mama. Mimi mara kadhaa nikichangia kuhusu Makinda napigwa ban, huenda JF. Nayo inamlinda.
 
Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?

Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.

Acha upuuzi wako kwanini usiwapeleke Samunge Loliondo kwa Babu? Mbona serikali yenu ya hovyo na dhaifu ilishawatengenezea barabara kuwarahisishia kufika haraka. Istoshe siku hizi wagonjwa wamepungua sana hivyo mtapata huduma fastafasta
 
Wewe unasema barabara? Ndesamburo or was it Mtei? katoa helicopter kuwapeleka watu huko au umesahau? kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Spika Makinda aache mara moja kulaghai Bunge na Watz kwa ujumla -- kwani wengi tuna uelewa wa mambo kuliko yeye -- hata hizi Kanuni za Bunge anazodai anazisimamia pia tunazifahamu. Anavungavunga tu katika kutoa tafsiri.

Naomba kumuuliza Spika Makinda hivi: Atueleze bila ya kumung'unya maneno lini suala la kupigwa kwa Dr Ulimboka lilifikishwa mahakamani?

Kinachofahamika ni kwamba kesi iliyo mahakamani ni ombi la Mwanasheria Mkuu wa serikali dhidi ya Chama cha Madaktari (MAT) kutaka mgomo wa madaktari utangazwe kuwa batili -- ombi ambalo Mahakama ilikubalia mara moja.

sasa Spika Makinda anapowakatalia Wabunge kuzungumzia suala la kupigwa Dr Ulimboka kwa kusema liko mahakamani -- atuambie ni mahakama ipi, na ni kesi namba ngapi. Labda wengi hatujui.

Mimi naona Spika huyu ni janga la kitaifa -- naona anachangia kwa kasi kulitumbukiza taifa katika farakano.

Next tym spika ASITOKE KWENYE chama Chochote, na wala ASIWE MBUNGE........ ni marufuku, narudia tena, NI MARUFUKU....chama chochote cha siasa kupendekeza jina la spika, hapo tutampata SPIKA, lakini siyo sasa
 
Akili ndogo kuongoza akili kubwa, bado huyo mama anafikiri bado yuko miaka ya 70, Hivi hata wabunge wa CCM hawaoni aibu, akina wabunge wanawake mpeni ushauri huyo mama amejaa msongo wa mawazo hata ukimwangalia. Anataka wabunge wote waonekane si waelewa. halafu hizo mahakama mbona zinatia aibu kila kitu ni kusikiliza CCM wanasemaje. TANZANIA TUNAPITA KATIKA KIPINDI KIGUMU PENGINE KULIKO KIPINDI CHOCHOTE.TUMWOMBE MUNGU ATUEPUSHE NA UTAWALA DHALIMU WA KIDIKITETA. AIDHA WATANZANIA TUJILAUMU KWA UNAFIKI WA KUMRUDISHA KIKWETE KWENYE URAIS LICHA YA KUVURUNDA KIPINDI CHAKE CHA KWANZA
 
Halafu anachoboa zaidi..akiona hajaelewa atoe ruling gani anakimbilia kujificha kwenye kichaka cha "wananchi wanatuangalia na wananipigia simu kwamba hawafurahishwi na hoja za baadhi ya wabunge".
Sijui wananchi gani hao..labda zomba na dos santos.
 
Tehe tehe tehe. Bwanae hili ndilo taifa la wadanganyika. Wenye mioyo ya zandiki. Kumtoa sita kwenye uspika ni majungu. Kumbuka kauli, kuogopa kutoa maamuzi mazito. Naamini yatapita
 
Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?

Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.

Zomba unaweza ku define maana ya neno QUALITY?
 
Nadhani upo.sahihi kabisa, boycot Bunge, ingia mtaani.

Kiukweli napendekeza wabunge wote kutoka vyama vya upinzani hata kususia bunge,maana sioni mantiki,na wala sioni maana yoyote,kwani pale jambo kubwa kwa maslahi ya watanzania linapopingwa kwa sababu linaweza kuiabisha serikali kwa kutolishughulikia mapema kwangu ni tatizo kubwa.na haya yote yanasababishwa na huyu bibi Kiroboto,ni kabishi haka ka-spika,ni kanafiki ile mbaya,halafu kana-pritend kujua sana kanuni,na wakati mwingine kanagoma tu makusudi bila kuwa na hoja,na haiwezekani spika wa wabunge wote unakuwa na upendeleo wa wazi,na mwisho anaongoza kwa personal interest,mfano kitendo cha kusema mimi sipendi miongozo,pale alipoombwa mwongozo na Mh Mnyika ni kitendo kilichoniuma sana,natamani atokee mbunge akatie mangumi haka kaspika
 
Yanikute mara ngapi? watoto zetu, wazee wetu, vijana wetu, wamama zetu walio wagonjwa wamewekwa rehani kwa jili eti "wasomi" wetu madaktari wanataka mafao zaidi ndio wawatibu. Hivi kuna zidi ya kutukuta la kutukuta hapo?

Nasema hivi, ulimboka, sasa hivi anajuwa nini kuumwa kuwa taabani, tunaomba apate kauli njema awaeleze madaktari, kuwa si fedha, wala si kuwa nacho pale kinachoweza kumsaidia, kinachoweza kumsaidia ni mioyo mema ya wanao weza kusaidia.

mpendwa zomba,

binafsi nimesikukishwa na kuhuzunishwa sana na yaliyompata bw. ulimboka, na kwa kweli siungi mkono kitendo cha kupigwa mtu yoyote! ila nakubaliana na wewe katika kumuombea apone na awe na kauli njema kama ulivyooieleza.

ubarikiwe sana mpendwa,

Glory to God!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom