Spika Makinda, athibitisha 'Muswada Umeondolewa'

Edson Z. M, ni kweli huu ni ushindi kwa Watanzania wote na ndio umuhimu wa kuwa na upinzani wa kweli, ila pia upinzani wa kweli bila umoja wa wapinzani is nothing, kweli hili la huu muswada, vyama vyote vya upinzani vimepaza kauli moja, 'uondolewe' na serikali imepiga magoti, imeuondoa. Kama tangu uchaguzi wa 2010, vyama vyote vingekubaliana CCM iondoke, CCM, ingeondoka!.
Mkuu Pasco,

unaweza kuwa sahihi kwenye hili la kuungana kwa vyama vya upinzani lakini unaungana kama kuna kukubaliana kwenye mambo ya msingi.Kama una mazingira ya vyama kama CUF,NCCR na TADEA unaungana na chama kipi? vyama vya upinzani kila kimoja kijiimarishe ili inapofika wakati wa uchaguzi wawe wana wafuasi na mashabiki wa uhakika wa kutosha badala ya kukimbilia kuungana na puppets! ni vyema kila unapozungumzia kuungana usilinganishe yaliyotokea Kenya na kwingineko bali angalia mazingira yanayokuzunguka. how can you form muungano na CUF au TADEA? Ni ngumu tusiongee kwasababu ni rahisi kutamka je is it practical?
 
kwa kifupi ni kwamba...walikuwa hawana pa kutokea ilaa kuuondoa mswaada huu............ bahati yao
 
CDM mlikuwa mnafanya maandamano wapi? mbona hapa nilipo kuwa wana CDM kibao lakini hakuna aneyeelewa lolote kuhusu maandamano? yale ni mawzo ya magamba, sasa magamba yamepigwa chini na mawazo yao.
Nyoka akijitoa magamba anabadilika anakuwa samaki?
 
Ndio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.

Mi naenda kuhifadhi mabango niliyokuwa nimeshaandika, sitaandamana kesho. Ana bahati kweli mama Makinda, ilikuwa nimmalize...
 
Hapo ndipo nampomfagilia JK ni mwepesi wa kwenda na matakwa ya wengi

acha kudanganya watu wewe........hakuna mtu anaeburuzwa kama huyu jk wako.....amejaa uoga...uongo.....unafiki......hana ujasiri wowote kabisa......hajabadilika tangu alipotoroka monduli.....bado ameshikilia unafiki, uongo, uchonganishi na hila

Ndio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.

Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.
 
Pasco kwenye maelezo ya maandamano jambo la Muswaada wa kurekebisha katiba ilikuwa moja tu kati ya yale mengi kwa hiyo sio busara kuacha kufanya maandamano ni vizuri yaendelee
 
Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.
Mimi na wengine wengi hatutoki katika makundi unayosema uwe na adabu ya kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzio sio kuwagawa kwa makundi
 
we mchaga ni mbovu au mbofu naomba uende jukwaa la lugha wakusaidie poa mkuu
muswada ni mbofu, mbofu, mbofu, mbofu, mbofu, mbofu.
Then mimi sio mchaga, ni mluo. Halafu si mkabila si mdini. A visionary patriotic.
 
Mimi na wengine wengi hatutoki katika makundi unayosema uwe na adabu ya kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzio sio kuwagawa kwa makundi

Mpo wachache kama hauko kwenye mojawapo ya hayo makundi.
Samahani, lakini hii ndiyo picha halisi ya cdm.
 
Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.

Wewe ni one of the ThinkTank ya CCM.
Naomba uniambie composition ya makabila ya mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera na Shinyanga. Na kuna vyuo vingapi katika hiyo mikoa? vitaje?
 
Mkuu Pasco,

unaweza kuwa sahihi kwenye hili la kuungana kwa vyama vya upinzani lakini unaungana kama kuna kukubaliana kwenye mambo ya msingi.Kama una mazingira ya vyama kama CUF,NCCR na TADEA unaungana na chama kipi? vyama vya upinzani kila kimoja kijiimarishe ili inapofika wakati wa uchaguzi wawe wana wafuasi na mashabiki wa uhakika wa kutosha badala ya kukimbilia kuungana na puppets! ni vyema kila unapozungumzia kuungana usilinganishe yaliyotokea Kenya na kwingineko bali angalia mazingira yanayokuzunguka. how can you form muungano na CUF au TADEA? Ni ngumu tusiongee kwasababu ni rahisi kutamka je is it practical?

Ukimuuliza Msekwa, Kikwete na "genius" makamba kutaja vyama vya upinzani Tanzania watakuambia CHADEMA.
Kwa hiyo Tanzania kuna Basically vyama viwili vya siasa, CHADEAMA na CCM
 
bravo cmd bravo jf kweli tupo juu sana. hakuna kuwalegezea hawa mafisadi mbona sasa wamesalimu amri............pipoz......................
 
Hongera serikali kwa kuwa wasikivu na kukubali kufata ushauri mbadala kwa ajili ya manufaa ya nchi

Mkuu unaipongeza serikali kwa kushindwa jaribio la kutunyoa! Sikuelewi unafurahia nini hapo.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.
Ulibahatika kutolewa gamba au bado unaishi nalo
 
Back
Top Bottom