zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,355
- 9,863
Maandamano ya CHADEMA yamezimwa kwa mantiki hiyo
wabadilishe maudhui ya maandamano ili yabaki pale pale.
Maandamano ya CHADEMA yamezimwa kwa mantiki hiyo
Asante pius kwa kuendelea kuiadvertise JF/ tutawashika wote
kama kweli hayatakuwapo hayo maandamano, basi ninaanza kuwa na wasiwasi ccm na chadema kuna kitu wana-collude nyuma ya pazia.
maana sijasahau msemo wa wahenge: "siasa mchezo mchafu"
Mkuu Pasco,Edson Z. M, ni kweli huu ni ushindi kwa Watanzania wote na ndio umuhimu wa kuwa na upinzani wa kweli, ila pia upinzani wa kweli bila umoja wa wapinzani is nothing, kweli hili la huu muswada, vyama vyote vya upinzani vimepaza kauli moja, 'uondolewe' na serikali imepiga magoti, imeuondoa. Kama tangu uchaguzi wa 2010, vyama vyote vingekubaliana CCM iondoke, CCM, ingeondoka!.
I just commented;Sijakuelewa mkuu!
Umeuliza au umeeleza?
Yataendelea.ajenda bado ni nyingi:
- Ugumu wa maisha
- Bei za nishati(umeme,mafuta)
- Stimulus package,MEREMETA,
maandamano ya chadema yamezimwa kwa mantiki hiyo
Maandamano si ya kutaka bunge liondoe muswada ni kushinikiza yaliyomo yafanyiwe marekebisho kuanzia kwenye jina lenyewe la bill bravo Chadema.Ndio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.
Wanabodi,
Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.
Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya Kiswahili, na kutangazwa kwenye magazeti ili iwafikie Watanzania wengi.
Wabunge wapiga vigelegele kwa kuimba CCM..CCM...as if ni CCM ndio wameshinikiza mabadiliko hayo.
Spika ameomba Watanzania tudumishe mila za kujadili kwa utulivu na amani
Kuondolewa kwa Muswada huu, ni uthibitisho mwingine kwa JF iko juu kwenye kupata breaking news za jikoni, na JF ni very reliable source of information.
Viva JF.
Pasco.
Maandamano yataendelea kuwepo kuna issues nyingi tu Pasco you will see for yourselfNdio maana yake, tatizo ninaloliona mimi, kwenye Chadema, kuna wanachama, wafuasi, mashabiki na manazi wa Chadema, hivyo hata baada ya serikali kukubali matokeo na kuuondoa, manazi wa Chadema bado watashinikiza wanataka maandamano yao yawe pale pale!.