Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.
watu wa pilau hawa
Tatizo hili linatokana na ukweli kwamba mashabiki na wanaoiunga mkono cdm ni machalii, wamachinga, vibaka na wanafunzi wa vyuo wasiozingatia kilichowapeleka vyuoni.
Maandamano ya CHADEMA yamezimwa kwa mantiki hiyo
Wanabodi,
Ile sintofahamu ya Muswada imemalizika,
Wenye access watch TBC Live Now!.
Spika ametangaza Kamati ya Sheria na Katiba imeomba marekebisho kadhaa ikiwemo kuletwa kwa lugha ya Kiswahili, na kutangazwa kwenye magazeti ili iwafikie Watanzania wengi.
Wabunge wapiga vigelegele kwa kuimba CCM..CCM...as if ni CCM ndio wameshinikiza mabadiliko hayo.
Spika ameomba Watanzania tudumishe mila za kujadili kwa utulivu na amani
Kuondolewa kwa Muswada huu, ni uthibitisho mwingine kwa JF iko juu kwenye kupata breaking news za jikoni, na JF ni very reliable source of information.
Viva JF.
Pasco.
Long live. Hapo huwa namkumbuka Fidel Castro Ruz: 'the future will tell who was right'
Sasa hapa tunaingia phase 2 ambayo ndio inabidi kuwabana hasa hawa jamaa vinginevyo tutakuwa tumefanya kazi bure
CDM mlikuwa mnafanya maandamano wapi? mbona hapa nilipo kuwa wana CDM kibao lakini hakuna aneyeelewa lolote kuhusu maandamano? yale ni mawzo ya magamba, sasa magamba yamepigwa chini na mawazo yao.
Mh. JK na serikali yake hawawezi jaribu kuruhusu maandamano ya mikoa 10 nchini juu ya hoja ambayo ni kweli.
What if watu wanaandamana, kisha wanakataa kurudi majumbani wakidai serikali iondoke madarakani? Mh. JK kasoma alama za nyakati mapema.........labda lije jingine.
CDM wanataka kupandia katika hoja ya Muswada tata?
Serikali iko VERY ALERT na yanayotokea duniani.
Ukweli, CDM mpo juuuu and keep it up!!! Hongereni ZENU.
Oh Really? This is another one of your trademark ultra-abusive message against CHADEMA. The unceasing stream of invectives that you have been hauling at the Party's stance on National Issues, without attacking the issues, is becoming worrisome. Stay on the issues and refrain from abuses and Entity attacks, it subtracts from you.
Yataendelea.ajenda bado ni nyingi:
- Ugumu wa maisha
- Bei za nishati(umeme,mafuta)
- Stimulus package,MEREMETA,
kwenye red hapo, tumeona tatizo kwenye kutafuta wabunge wa SDCC/commonwealth. Inaelekea ni janja yao kuleta miswada kwa kizungu maana wanajua vilaza wengi watashangilia "ccm, ccm, ccm...." na miswada inapita.Wanabodi,