Membe anapiga marufuku kuanzia leo shughuli zote za utafiti katika maeneo yalio ndani ya mipaka ya Tanzania.
Si wamalawi wote wenye msimamo mkali juu ya umiliki wa ziwa hilo, ukisoma magazeti yao na maoni ya wananchi utagundua wapo wanaopendekeza mazungumzo na wapo pia wanaotambua mtafaruku uliopo baina ya mipaka tuliyorithishwa na wakoloni na uamuzi wa Baraza la usalama la UN linalosema wazi wazi kwamba mipaka baina ya nchi inapokutana kwenye ziwa, kila nchi itakuwa na haki ya kumiliki nusu ya eneo husika. Wapo wamalawi werevu na wapo pia wajinga kama ilivyo huku kwetu. Sote tu ndugu, hakuna haja ya kugombana maana wabaya wetu ni umasikini, ujinga na maradhi.Wadau punde spika anna makinda ametambulisha wageni toka malawi akiwemo naibu spika wa bunge la malawi.
je inawezekana ni mwanzo mzuri wa mazungumzo baada ya vile vitisho vya ziwa Nyasa au ndo kuzidi kwa mkorogano wa viongozi wetu katika kuiuza nchi yetu?
Si wamalawi wote wenye msimamo mkali juu ya umiliki wa ziwa hilo, ukisoma magazeti yao na maoni ya wananchi utagundua wapo wanaopendekeza mazungumzo na wapo pia wanaotambua mtafaruku uliopo baina ya mipaka tuliyorithishwa na wakoloni na uamuzi wa Baraza la usalama la UN linalosema wazi wazi kwamba mipaka baina ya nchi inapokutana kwenye ziwa, kila nchi itakuwa na haki ya kumiliki nusu ya eneo husika. Wapo wamalawi werevu na wapo pia wajinga kama ilivyo huku kwetu. Sote tu ndugu, hakuna haja ya kugombana maana wabaya wetu ni umasikini, ujinga na maradhi.
Wadau punde spika Anna Makinda ametambulisha wageni toka Malawi akiwemo Naibu Spika wa Bunge la Malawi.
Je inawezekana ni mwanzo mzuri wa mazungumzo baada ya vile vitisho vya ziwa Nyasa au ndo kuzidi kwa mkorogano wa viongozi wetu katika kuiuza nchi yetu?