Spika aongezewa ulinzi

hata atumie simu ya mezani atatumiwa meseji tuuuuuuuuuu!!!!!!
 
Kweli inabidi Spika Makinda kama bado amesaziwa mshipa wa aibu ajionee aibu mwenyewe na ajitathmini kwa kujaribu kujilinganisha na mtangulizi wake Sitta na kwamna yeye ni wakala kwa nani.
S. sitta aliongezewa ulinzi dhidi ya mafisadi wachache wezi wa rasilimali za umma. Yeye Makinda anaongezewa ulinzi dhidi ya umma unaodhulumiwa kila kukicha.
Hapo ikiwa atataka atajua bila shaka ikiwa yupo upande wa Mungu ama wa wanyang'anyi.
.
 

Haya baba Kiroboto
 
Insha yako sijaweza kuisoma,nitaipitia baadae.
 
Mimi nilikosa kuhudhuria huo mkutano wa Temeke.

Msaada kwa mwenye namba hizo nipate kuwasalimia na kuwapa pole.
 
Acheni uzushi CDM imefanya lini mkutano Mwembe Yanga? mwandishi kanjanja.............. na mhariri kanjanja......!!!!!!
Inasikitisha kukutana na watu wa aina yako,inavyoonekana hujui unatoka wapi unakwenda wapi katika ulimwengu wa siasa.Wewe ni bure kabisa.
 
Mimi nilikosa kuhudhuria huo mkutano wa Temeke.

Msaada kwa mwenye namba hizo nipate kuwasalimia na kuwapa pole.
Piga 911 halafu operator atakuunganisha na spika lakini usisahau kumwambia dhamira yako.
 
Spika anachopewa ni gelesha kwani ana nini cha ziada zaidi ya kupoteza muda na kodi za walipaji.
Nchi hii imeoza sana.
 

Nashukuru mkuu kumuona huyu msomali Kinana huyu anahujum uchumi wetu sana tu.
 
Mwanakijiji acha unazi,chanzo cha matusi kwa spika ni mkutano wa Mwembe yanga tena mtoa namba alisisita hadhara imtumie ujumbe spika.Na hizi ndio athari za jazba za siasa za kutaka sifa za kijinga majukwaani.

sas kwanii yeye aliwaambia wamtukane? si watoe mawazo yao? acha unazi na wewe.
 
Piga 911 halafu operator atakuunganisha na spika lakini usisahau kumwambia dhamira yako.

Ina maana hii ndio namba waliyotoa pale Temeke siku ya mkutano!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Watumie hata chopa kwenda kijijini kwao!! Iliyobaki wahame NCHI. mambo yamechacha!!
 

Kaka kumbe na wewe mvivu kusoma,
Pole sana kasome tena, kashilila kakiri mwenyewe kuwa kutoa number sio tatizo.
 
Yani kweli Tanzania tunajua kutumia pesa na muda vibaya. Kweli mamlaka husika zina poteza muda wao kufuatilia watu waliotuma hizo messae za matusi? Sitetei tabia ya kumtukana speaker (au mtu yoyote) ila mimi naona ni waste of our time and resources.
 
Mwanakijiji acha unazi,chanzo cha matusi kwa spika ni mkutano wa Mwembe yanga tena mtoa namba alisisita hadhara imtumie ujumbe spika.Na hizi ndio athari za jazba za siasa za kutaka sifa za kijinga majukwaani.

acha ushamba wewe! No. Za viongozi zipo kwny anuani za serikali. Na matus yatakuwa yametokana na uzembe wa spika wako na naibu wake. Mbona mrema alitoa no. Alitukanwa? Mbona rais, waziri mkuu namb zao tunazo je uliwah wasikia kuwa wanatukanwa? Hebu jiongeze kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…