Mkuu samahani, lakini naona unanirudisha hatua mia nyuma. Hilo naomba unisamehe sitakujibu.
Mkuu niliandika hivi, nataka kuweka kumbukumbu sawa.
-Wanaolitia gharama taifa ni wale wanaoshabikia elimu ya kipuuzi kwa walalahoi wao wakineemeka, tangu lini hesabu zikawa multiple choice? wewe unaridhika na mwenendo wa elimu ya tanzania kwa watanzania waleo na wale wa kesho?
-Wanaolitia gharama taifa ni wale wanaoruhusu meli zao kubeba shehena za meno ya tembo kwenda ughaibun. KINANA katibu mkuu ccm
-Wanaolitia gharama taifa ni wale wanaotafuta uraisi kwa nguvu ya udini kuwagawa watanzania, wao wakila bata ikulu-ccm na viongozi wake
-Wanaolitia gharama taifa ni wale waloshindwa kuboreha hospitali ya muhimbili na kuigeuza India ya wahindi kuwa muhimbili wanatufedhehesha sana maana walalahoi hawawezi kuenda huko wao kwao DAR muhimbili wewe unalizika na kitendo hicho cha wao kila kukicha India?
-Wanaolitia gharama taifa ni wale wanaoficha fedha za taifa uswis kwa mabilioni sisi tukiteseka na maisha magumu
.
.
.
. EPA, Richimond, twiga ndani ya ndege kuelekea arabun, mikataba ya gesi imefichwa kwa faida ya nani?..........
Tumia akili yako kuwaunganisha watanzania kudai haki zao za msingi.
Ukanijibu hivi
Maelezo yako hayana uhusiano na topic ya thread. Tusitoke nje ya mada. Hayo yako unaweza kuyaanzishia thread, tutakuja kuchangia...
Nikakuulia hivi
1. Unaweza kueleza kwanini chadema wanalitia gharama taifa?
2. Umetumia maneno kulitia gharama taifa unaweza kutuwekea tafsiri sahihi ya maneno hayo na yalilenga nini?
Ukiweka maelezo hayo tutaendelea mkuu.
Ukanijibu hivi
Mkuu, its simple mathematics - chadema wamesema maneno ambayo yamewafanya wananchi wafanye mambo yaliyojenga hofu juu ya usalama wa spika. Matokeo yake serikali inaingia gharama kuhakikisha usalama wa spika.
Bado unahitaji maelezo zaidi?
Nikakuuliza hivi
1. Unaweza kuorozesha hayo maneno na hatari zake?
Umejibu hivi
Mkuu samahani, lakini naona unanirudisha hatua mia nyuma. Hilo naomba unisamehe sitakujibu.
Tuendelee
Nimekurudisha nyuma kwasababu yote haya yanatokea kwasababu za
upumbavu wa spika, Naibu spika na baadhi ya wabunge wa ccm
1. Kushabia elimu ya kipuuzi,
Mbatia amepeleka jambo la msingi ushabiki unaingia on the expense ya walalao kuikosa haki
2. Katika bunge hilohilo ushabiki unaingia wanajadili mambo kwa mkutadha wa
kuwachonganisha rai kupitia mahakama lengo nini wagawe uwatawale kupitia chuki za
kidin.
3. Ni katika bunge hili bunge lilopita huko nyuma, chini ya
makinda hoja za afya zilipigwa chini bungeni, matokeo yake ccm ikamtumia
Rama Igondu kumzuru Dr ulimboka, je maslahi ya afya yameathilika kiasi gani chini ya makinda, ndugai, Pinda, W. Lukuvi na
Mtembezi?
huwezi kuliona hili! kwasababu umevaa miwani ya uccm.
4. Je sio chini ya
makinda, Pinda na
Mtembezi tumekuwa tunapigwa danadana kuhusiana na
walioficha fedha uswis? huoni relation hapa mwana maheabu this is easy either from
logic or
relation, by far you may use
projection if you like.
5. Kuhususiana na mikataba ya hovyo kwanini
mikataba ya gesi kupitia bunge hilihili inawekwa chini ya meza kwa maslahi ya nani? Niliongezea ya KINANA na Richmond nk kwasababu
by histogram or normal distribution curve ccm makes such a function to exist and will never be separated unless the reality is revealed. (data can be collected and ploted conerning mafisad under CCM ruling and The parliment under Madam makinda)
a) Nilikuwa naakuuliza maswali
kukuweka sawa kwamba upumbavu wa ccm kumtumia makinda na Ndugai ndiyo
wanalisababishia hasara taifa "kwa msemo wako walisababishia gharama"
b) Makinda anaongeza
gharama zaidi za ulinzi, kwasababu ya upumbavu wake kukubaali kutumika bila kuifuata kweli.
c) Sasa ulitaka wananchi wafanyaje pale wanapoona wazi Spika na Naibu wake wanapindisha sheria na kuwaacha wananchi waonekane mbumbumbu?
Hiyo ndiyo
sura halisi ya maswali yangu na mtazamo wangu chini ya hoja Spika aongezewa ulinzi swali kwanini hayo ndiyo majibu. Tumia akili zako vizuri kupambanua mambo
-Sasa nataka na wewe utuwekee hapa hayo maaneno waliyoyasema chadema na hatari yake