Spika Anne Makinda, something is wrong...

Spika Anne Makinda, something is wrong...

Huyu mama anatamani yani wabunge wachadema wote awatoe nje!

Khaaaaaa Mwana hilo nalo ni la kuuliza kwani hukumsikia pale sugu (MB) alipokuwa akimalizia huku akiketia na kesi ya Dr. Ulimboka Anna makina akarukia hivi nyie mbona munapenda fujoooo. Sasa hapo jua mind set yake upinzani ni watu wa fujo hii ni akili kweli anae mfundisha huyo mama sheria kwa sasa anashida sana maana kui controll hiyo brain yake inahitaji hekima sijui ya aina gani? analopoka tuu yeye hajui kuwa yuko kwa TV na watanzania wa sasa wanavyofuatilai bunge duuuu na ndio maana sasa wamekuja na slogan yao "Kesi iko mahakamani" Akili finyu sana hizo yaaani serikali inashindwa jenga hoja ???????


 
Katika mpangilio wa kiutawala wajinga hawapaswi kupewa nafasi ya kutawala, wakipewa matokeo yake huwa kama unayoyaona ivi leo! chama kinachoongozwa na raisi dhaifu, mawaziri wajinga wajinga, wabunge wehuwehu wasiojua nini maana ya kuwa mbunge!
ni aibu na ni hasara sana, ona leo mpaka Masele anawaza kuwa raisi,makamba anawaza kuwa raisi, membe nae walewale.
hii inatokana na kuona kuwa inawezekana maana top aliepo ni mwenye akili zinazofanana na zao

Mkuu umeniacha hoi hahahahahahahahaha amakweli wabunge wasio juwa walichokifuata bungeni ni nini si unajua last election walijipa tuu nafasi EL alizani ataiweka kambi yake pouwa kumbe kibao kikabadilika wakaanza finyangana wao kwa wao CCM hiii matatizo sana

Na hii ndio hasara ya wabunge wasio jua kujali hivi leo hii kwa elimu ya ngumbaru tulio nayo utamdanganya nini mtanzania hata wa Class 3 nini akielewi wabunge wakiongea??


 
kuna mtu asubuhi humu aliandika uzi ati wabunge wa cdm sio wasomi, mbona ndio wenye hoja nzito? Au alitaka iweje cjui!
 
Naomba namba yake nami nimtumie kulalamika kuwa yeye ndio kituko kikubwa bungeni
 
jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu

Nakubaliana na wewe kabisa,wakati mwingine "rungu" huwa inapunguza stress na kufanya akili ifikiri sawasawa(kama inamilikiwa kihalali).Tatizo lake anakuwa anawaza namna ya kuiba "rungu"za wengine, hivo hawezi kutulia
 
CCM ilifanya makosa makubwa kumuacha Samuel Sitta (Speed and Standard!) na kutuwekea "Kituko" hiki! Kinalalamika ovyo bila kujua kinalalamikia nini, ilimradi kikwaze wapinzani.

Hayo ndo madhaifu ya kudai kuleta Gender kwenye mambo muhimu,hata maandiko yanadai mwanamke ni sikio kamwe haliwezi kuzidi kichwa, aende akacheze na watoto aache wanaume wafanye kazi,mbona mambo hayakuwepo Last 5 Yrs. Uozoooooooooo,SPIKAAAAA:..............KAPIKEEEEEE
 
Historia ipo na itawahukumu na wakati sio rafiki uvumilivu utawashinda wanao nyanyaswa na kuonewa kila uchwao na kitawaka tuuu nyie waachane tuuu
 
Naombeni namba ya makinda na mimi nianze kumtumia msg za kumjuza navyojiskia juu ya muonekano wa bunge.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ingekuwa amri yake asingekubali bunge lionyeshwe live kwenye tv. Ukiona MCCM anachangia hata kama ni pumba anaachwa aseme hadi mwisho lakini kama ni wa upinzani unakuta anaanza kukatizwa hata kama hajamalizia sentensi. Mama badala ya kupata heshima unayodai unajiongezea aibu na dharau kwa wengi wanaoangalia mwenendo wa bunge. Jaribu kuwa fair katika kuongoza mojadala kuthibitisha vinginevyo.
hawa CCM wajidai wanaakili sana wamempa uyu mama makusudi wakijua ni dhaifu ili wao waponeoko ,adhambi yao ww utabaki uyu mama mjinga kweli uku hoja za msingi zikipita kim zaha zaha tu kama ilivyo tokea leo uyu mama alivyoona lukuvi kasimama tu akaunga tela kwa sababu nai kada mwenzie hawezi kumwangusha ndo maana yamemtokea puani halafu mbaya zaidi haka ka mama hakana aya ni kakauzu kweili
:A S-baby:
 
Naomba namba yake nami nimtumie kulalamika kuwa yeye ndio kituko kikubwa bungeni
Msg could not work out, ukifika mjengoni halafu ukampa za uso itanoga zaidi. Yuko kwa maslahi ya chama.
 
Autoe wapi uwezo huo wa kufikiri; wewe unamtania Spika kwamba aka upeo wa kufikiri huku ukijua ukweli kuwa hana?. kaa chonjo asije akakutolea wa spika.

Sita aliwahi kumwonya asikurupuke!!
 
Huyu Mama simpendi sababu moja amekubali kutumika na mafisadi kwa manufaa ya mafisadi!!ana roho mbaya sana anadhani nyinyiem itadumu milele!atashangaa watakimbia wote hao subiri tu muda waja!!!vijana wote wajipange ajili ya ubunge 2015 kutoa uozo wote uliopo mjengoni!!
Labda kama atakimbilia kwao Yakobi Njombe ambako hawana umeme wala maji safi tangu uhuru. Pamoja na kwamba nguzo za umeme zinapita kama mita 200 kutoka Uwemba kuelekea Luponde mashamba ya chai kijijini kwa Makinda Semamba hakuna umeme. Anaroho mbaya mnoo!!!!
 
jamani msimlaumu tatizo hana mume nyie mnamuona yuko normal? miaka 68 hajapata wa kuzeeka naye zaidi ya kuiba wanaume za watu
Aiseeeeeee!!!! Umenifanya nifikirie Kama angekuwa kazaa mtoto na Wassira au Kova the Great sijui huyo kiumbe angepelekwa mbuga gani,Serengeti au Mikumi?
 
Kilichotokea leo bungen kimedhihirisha udhaifu,ushamba na-CCM uliojaa katika kichwa cha huyu mama,
kadhihirisha kuwa alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofauti na wagombea wengine na si kwa uwezo,elimu na uzoefu alionao!
Bunge la sasa lenye wasomi wengi tena kutoka upinzani hai (CDM) halikupaswa kuongozwa na huyu mama! Huyu mama ni moja ya majanga ya taifa hili huyu mama nikama redio kaseti katika huu ulimwengu wa ipod na ipad!
 
kilichotokea leo bungen kimedhihirisha udhaifu,ushamba na-ccm uliojaa katika kichwa cha huyu mama,
kadhihirisha kuwa alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofauti na wagombea wengine na si kwa uwezo,elimu na uzoefu alionao!
Bunge la sasa lenye wasomi wengi tena kutoka upinzani hai (cdm) halikupaswa kuongozwa na huyu mama! Huyu mama ni moja ya majanga ya taifa hili huyu mama nikama redio kaseti katika huu ulimwengu wa ipod na ipad!

kidole na macho kijana!......watch what you say
 
Kilichotokea leo bungen kimedhihirisha udhaifu,ushamba na-CCM uliojaa katika kichwa cha huyu mama,
kadhihirisha kuwa alipewa uspika kwakuwa alikuwa na jinsia tofauti na wagombea wengine na si kwa uwezo,elimu na uzoefu alionao!
Bunge la sasa lenye wasomi wengi tena kutoka upinzani hai (CDM) halikupaswa kuongozwa na huyu mama! Huyu mama ni moja ya majanga ya taifa hili huyu mama nikama redio kaseti katika huu ulimwengu wa ipod na ipad!

kilichopitwa na wakati kimepitwa na wakati tu hata ukifanye nini hakibadiliki. Leo hii ataununue radio cassette ya milioni kumi na kumpa ombaomba hatakurudhishia cassette yako uondoke nayo ndio sawa na huyu mama kwani cassette yake ilibidi ije na masharti ya jinsia ili iweze kuuzwa ni sawa na kumpa ombaomba zawadi ya cassette huku umemshikia bunduki kichwani.
 
Huyu mama ni sawa na floppy dissket katika ulimwengu wa dvd's na USB stick huyu mama kwa maana nyingine yeye anazungumza 1950 wakati sisi tunazungumza 2012 hiyo tofauti ndio inamfanya aonekane kituko
 
Huyu mama ni sawa na floppy dissket katika ulimwengu wa dvd's na USB stick huyu mama kwa maana nyingine yeye anazungumza 1950 wakati sisi tunazungumza 2012 hiyo tofauti ndio inamfanya aonekane kituko

hata DVD na USB zimepitwa na wakati sasa hivi mambo ni CLOUD.
 
Back
Top Bottom