Spika Anne Makinda, something is wrong...

Huyu mama ni sawa na floppy dissket katika ulimwengu wa dvd's na USB stick huyu mama kwa maana nyingine yeye anazungumza 1950 wakati sisi tunazungumza 2012 hiyo tofauti ndio inamfanya aonekane kituko
huyu maza ni sawa na kulinganisha LAND ROVER 109 miaka hiyo na RANGE ROVER VOGUE 4.6HSE SUPER CHARGED miaka hii.
ndio hivyo ana jaribu kuwabana sana jamaa wa upinzani. lakini iko siku kiti kile atakaa mtu wa cdm, sijui ccm wataweka wapi nyuso zao.
watambue siasa ni UPEPO tu.
 
Back
Top Bottom