Unashangaa hilo kwa Vasco Da Gama!!?? usishangae ukiambiwa kesho yuko Marekani.Huyu jamaa kesha toka moshi?
Masharti toka Mlingotini Mjomba.Wakuu salamu,
Muda huu umenipita msafara wa JK hapa maeneo ya Tabata dampo. Msafara ulikuwa na magari zaidi ya 30 na difenda za Presidential Protective Unit kama 8 hivi. Wamepita kwa spidi kali pengine kuliko kawaida ya spidi ya Presidential motorcade jambo ambalo limewashangaza wengi hapa.
Gari hizo zimetokea maeneo ya Ubungo na zimeelekea Tazara/Airport.
Kwa wale wenye taarifa mtujuze;
1. Bwana mkubwa anaelekea wapi?
2. Kwa nini msafara ukimbie kwa spidi ile? (spidi ilikuwa si chini ya 160kph).
3. Kwa nini leo amebadili njia na kutumia njia ya Mwenge-Ubungo-Tazara-Airport? (Njia ambayo huwa anatumia mara nyingi akiwa anaenda Airport ni Nyerere Road, leo mbona amezunguka hivi....kulikoni?
Wenye taarifa tafadhali.
Fanya utafiti vizuri ujue alikuwa kiongozi gani , JK yko Moshi anapanda mlima kilimanjaro.Wakuu salamu,
Muda huu umenipita msafara wa JK hapa maeneo ya Tabata dampo. Msafara ulikuwa na magari zaidi ya 30 na difenda za Presidential Protective Unit kama 8 hivi. Wamepita kwa spidi kali pengine kuliko kawaida ya spidi ya Presidential motorcade jambo ambalo limewashangaza wengi hapa.
Gari hizo zimetokea maeneo ya Ubungo na zimeelekea Tazara/Airport.
Kwa wale wenye taarifa mtujuze;
1. Bwana mkubwa anaelekea wapi?
2. Kwa nini msafara ukimbie kwa spidi ile? (spidi ilikuwa si chini ya 160kph).
3. Kwa nini leo amebadili njia na kutumia njia ya Mwenge-Ubungo-Tazara-Airport? (Njia ambayo huwa anatumia mara nyingi akiwa anaenda Airport ni Nyerere Road, leo mbona amezunguka hivi....kulikoni?
Wenye taarifa tafadhali.
Moshi si alikuwa jana? kwani leo hawezi kuwa Dar?
Bado yuko milima Kilimanjaro anashuka kesho bila shaka ni kiongozi mwingine aliyeonekana huko Tabata.
Huyu jamaa kesha toka moshi?
Hapana hakupanda juu zaidi ya Marangu geti kuu
Fanya utafiti vizuri ujue alikuwa kiongozi gani , JK yko Moshi anapanda mlima kilimanjaro.
..Haaahaahaaaahaaaa "leo pita karibu na dampo la uchafu" ili wasikuone!!...SillyMasharti toka Mlingotini Mjomba.
apande mlima kilimanjaro?miguu yenyewe haina nguvu ya kuhimili kusimama itakuwa kupanda mlima !!! hebu nipisheni hapa....
Kuna mgomo wa madaktari kuanzia kesho mkweree lazima atakuwa amesepa; hataki taabu yeye kazi yake mashori tu na ndio yaliyompeleka Moshi!!!!