Spesheli ya watoto tu. Hasi na chanya

Ni kweli kabisa chief. Nimeona baraka katika kuwapenda,kuwatembelea na kuwasaidia wale waliopo kwenye mazingira magumu.
Mkuu kama una moyo wa kusaidia pitia na hawa watoto wapo instagram wanaitwa yoco watoto yatima
wanahitaji misaada kadha wa kadha

waungwana tusaidiane walau na wao wapate makazi
 
JamiiForums563942962.jpg
 
Kuna muda inabidi tuwaheshimu sana mama zetu.
hapa
mama anaendesha baiskeli mkono mmoja,
mtoto akiwa anapata haki yake,
baiskeli nayo haina breki,
huku
mama mkono mwingine una mfuko
Yaani
hadi huyo ng’ombe anaechunga hapo
nae anashangaa!
NGUVU ZA MAMA
UJASIRI WA MAMA
UWEZO WA MAMA
UPENDO WA MAMA
View attachment 1755212
Wamama wengi wana akili. Hata kama hawakusoma hata darasa moja.

God bless'em

IMG-20210419-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom