Duuh nimefarijika kukuona MTANI nilipata wasiwasi 👍
Watoto wa kike bwana raha sana wakiwa wadogo. Unawaremba utakavyo.
Midekoo nizalie basi mtoto mmoja wa kike jamani japo na mie niitwe baba
ndio bwana nataka bby daughter ili niwe nawatoa nduki vijana watakao kuwa wanataka kumgegedaNikugaie kamoja 😊😊