Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,487
ila huyu mtoto ana matukio jaman
nawaonea huruma wazazi wake
Mungu amuokoe tu kwa kweli.
ila huyu mtoto ana matukio jaman
Ngoja nikacheki.Mkuu kama una moyo wa kusaidia pitia na hawa watoto wapo instagram wanaitwa yoco watoto yatima
wanahitaji misaada kadha wa kadha
waungwana tusaidiane walau na wao wapate makazi
Awwww [emoji7]
Hii picha unaipenda [emoji23]
Picha nzuri sanaKuna muda inabidi tuwaheshimu sana mama zetu.
hapa
mama anaendesha baiskeli mkono mmoja,
mtoto akiwa anapata haki yake,
baiskeli nayo haina breki,
huku
mama mkono mwingine una mfuko
Yaani
hadi huyo ng’ombe anaechunga hapo
nae anashangaa!
NGUVU ZA MAMA
UJASIRI WA MAMA
UWEZO WA MAMA
UPENDO WA MAMA
View attachment 1755212
[emoji23][emoji23][emoji23]hii kali sanaMama kachema tiondoke wote.View attachment 1756120
Hahaa. Hapo huwa wanataka kuondoka na mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]hii kali sana
Viatu vimegeuzwa lakini kaputa ndio kabisaaaa
Hivi wtt sijui kwa nini wanapenda kutoka!?Mama kachema tiondoke wote.View attachment 1756120
Wamama wengi wana akili. Hata kama hawakusoma hata darasa moja.Kuna muda inabidi tuwaheshimu sana mama zetu.
hapa
mama anaendesha baiskeli mkono mmoja,
mtoto akiwa anapata haki yake,
baiskeli nayo haina breki,
huku
mama mkono mwingine una mfuko
Yaani
hadi huyo ng’ombe anaechunga hapo
nae anashangaa!
NGUVU ZA MAMA
UJASIRI WA MAMA
UWEZO WA MAMA
UPENDO WA MAMA
View attachment 1755212
And make sure our kids be proud of their homes