Jukumu letu kujifunza wakati wa kunyamaza na kutoa neno

Amosi Hezron

Member
May 4, 2019
10
9
#FikraZangu
Kila neno huwa na matokeo yake aidha chanya au hasi, aidha ya kujenga au kubomoa LAKINI pia kila ukimya huwa na matokeo yake aidha chanya au hasi.

Jukumu letu ni kujifunza wakati gani wa kutoa Neno na wakati gani wa kunyamaza
 
Back
Top Bottom