Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
zinatolewa kama uchafu kupitia uke wa mwanamke
Why that name?
zinatolewa kama uchafu kupitia uke wa mwanamke
zinatolewa kama uchafu kupitia uke wa mwanamke
wrong approach!
Sijaanza huo mchezo though sipo sild
kunenepesha makalio, kulainisha ngozi, kuondoa stress na kunenepesha k kwa ndani lakini.
huwa wanadai n chachu hasa ukiitoa kama una zaid ya wk 2 haujautupa
nice comment miss!
Weka Picha
Mechi za kombe la dunia hatua ya robo fainalo zinaendelea lini?
Your name and your comment kwi kwi kwi.
uchachu kama wa limao? Ama ukakasi kama wa ndizi?
kunenepesha makalio, kulainisha ngozi, kuondoa stress na kunenepesha k kwa ndani lakini.
protein.......zinakwenda kunenepesha makalio.
Amefikiria sana na hakupata jibu ndio maana akauliza swali lake inafaa umjibu inavyotakikana. mimi Zamani nilivyokuwa mdogo miaka ya 1970 nilikuwa nina muuliza Marehemu Mama Yangu eti sisi watoto tukizaliwa tunatoka wapi? akanijibu Mama tunatoka baharini ndipo tunapozaliwa alinijibu kimasihara tu. kuna Maswali mengine mtu akiuliza swali mjibu tu hata kama wewe utaliona Swali analouliza muulizaji kwako wewe halina maana kwako lakini kwake lina maana kubwa ndio maana ameuliza mkuu BigbroMh! Watu sijui huwa wanafikiriaga nini
Amefikiria sana na hakupata jibu ndio maana akauliza swali lake inafaa umjibu inavyotakikana. mimi Zamani nilivyokuwa mdogo miaka ya 1970 nilikuwa nina muuliza Marehemu Mama Yangu eti sisi watoto tukizaliwa tunatoka wapi? akanijibu Mama tunatoka baharini ndipo tunapozaliwa alinijibu kimasihara tu. kuna Maswali mengine mtu akiuliza swali mjibu tu hata kama wewe utaliona Swali analouliza muulizaji kwako wewe halina maana kwako lakini kwake lina maana kubwa ndio maana ameuliza mkuu Bigbro
Jamii forums si kwa ajili ya kundi la watu au kundi la dini au kundi la vyama vya Siasa Jamii Forums ni kwa ajili ya Wanachi wote Raia wa nchi na wasiokuwa Raia wa nchi. Huyu mtu atakaye fikiria Jamiiforums eti ni kwa ajili ya kundi fulani atakuwa anajidanganya akili yake mwenyewe JerrymsigwaMkuu tatizo kuna watu wanadhani Jf ni kwa ajili ya kundi fulan la watu tu