Sperms/Manii

Sperms/Manii

Amefikiria sana na hakupata jibu ndio maana akauliza swali lake inafaa umjibu inavyotakikana. mimi Zamani nilivyokuwa mdogo miaka ya 1970 nilikuwa nina muuliza Marehemu Mama Yangu eti sisi watoto tukizaliwa tunatoka wapi? akanijibu Mama tunatoka baharini ndipo tunapozaliwa alinijibu kimasihara tu. kuna Maswali mengine mtu akiuliza swali mjibu tu hata kama wewe utaliona Swali analouliza muulizaji kwako wewe halina maana kwako lakini kwake lina maana kubwa ndio maana ameuliza mkuu Bigbro

well argued, ahsante sana mkuu
 
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?

Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?


Refer Jamii forum Dr
 
Zinakuwa madii kwa mwanamke peleleza unapokuwa na mwanamke mnagegedana huwa anamwaga kama ww ndo hizo sperm zko za jana
 
Back
Top Bottom