gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Jamaa alipwaya sana na kuwa mdogo ka piritoni.
kwann mkuu?
Jamaa alipwaya sana na kuwa mdogo ka piritoni.
Hebu katafute bwana wasapu huko pumbavu wewe.
Wingi wa watu unaolinganishwa na kupitwa na huu wa leo ni wa 1999 wakati wa kifo cha baba wa taifa mwl J K Nyerere.
Record yake mwalimu inavunjwa halafu eti Lowassa aliyeivunja asiingie ikulu, masihara hayo!!
Mimi nimeweka movie sasa baada ya khabari murua ya Musoma na Kamanda Edo!!
Wamenifurahisha wale vijana waliokuwa na mafagio yapo serious na kupiga deki!!!
I Wass around pia,i can confirm thatNilikuwa catalunya watu walikuwa wanashangilia habari kutoka musoma
Channel Ten nao leo wamefanya coverage nzuri sana
Hawafikii mbeya dadek
Naskia only bwana Obama ndo aliwah kufanyiwa hvyo in tanzania hahahaha kama magufuli asipokufa kwa presha mwaka huu sijui
Spencer na Buhohela wote wanafanya kampeni hawaripoti.
Huyu dogo tutampa shavu tu mzee mamvi akishaingia ikulu
hatimaye uvumilivu umewashinda hahahahaha
​Nafasi hii ingemfaa zaidi Sam mahela...
Napenda kujoin hiyo dinner........kanisuuza sana.........
Hivi Huyu Dogo Si Ndiyo Huyu WAKATI Akiwa Hapo SJMC Alikutwa Na KASHFA YA KULA CHABO KTK MTIHANI Na KUFUMANIWA Na Denti Wa Darasa La 4 au? Halafu Sijui Hii Tabia Yake Ya KUPENDA KUOMBA KUOMBA HELA Kwa Sources Wa HABARI Ameiacha. Na Safari Hii AKIJISAHAU Tu Na Kuja Ktk Press Yangu Na AKITAKA Tip " NITAMPUMULIA KISOGONI " Ili Akanitangaze Vizuri Ktk TAARIFA Yake Ya Habari.