Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,236
- 138,755
Haya haya jamani,Lameck kamwaga radhi,kaonyesha watu wamedeki lami.anasema watu wana mahaba.anasema rekodi imefunjwa kabisa.hata dada mtangazaji anatabasam kwa hamu
jaman rahaaaaaaa!!! Musoma mmetishaaaaa
Mtangazaji mahiri wa ITV anayeripoti habari za Lowassa leo anasubiriwa kwa hamu kubwa kuwapa raha watanzania. Kijana anapiga kazi ya maana kiasi cha kuwakuna wananchi. Leo ni leo spencer lameki saa mbili taarifa ya habari ITV
Na mimi nipo hapo nyuma yako. Najoin bila kuomba.Napenda kujoin hiyo dinner........kanisuuza sana.........
Huyu dogo alipo apate anachokunywa naptia kulipaHuyu dogo sasa anamfunika Buhohela, wakati wanaanza kampeni alikuwa anasuasua sana lakini kadiri siku zinavyosegea mbele anaimarika. Nakupongeza sana Spensa Lameck na Mungu akupe nguvu zaidi
Hebu katafute bwana wasapu huko pumbavu wewe.Iko wazi ITV ni UKAWA
Haya haya jamani,Lameck kamwaga radhi,kaonyesha watu wamedeki lami.anasema watu wana mahaba.anasema rekodi imefunjwa kabisa.hata dada mtangazaji anatabasam kwa hamu