DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Kwa kauli hiyo tu unadhihirisha kwamba wewe ni mgeni wa kusafiri dar-southern highlandsWewe utakuwa mgeni wa barabarani. Kwa sasa hakuna basi linalokimbia kwa kasi kama hilo SAULI.
Ni kweli hata Kitonga siijuiKwa kauli hiyo tu unadhihirisha kwamba wewe ni mgeni wa kusafiri dar-southern highlands
isuue ya city boy haikusababishwa na speed ilikua mbwembwe tu za madereva, narudia tena kama hupendi basi linaloenda speed mtuachie pandeni hizo luxury zenu tuachini mabasi yetu tuwahi kufika mambo ni mengi muda ni mchache
Hapa kwenye hii video unaona Sauli wako anavyoliwa kichwa na Majinja Volvo,usilete uongo huku,huku ni mwendo wa ushahidi wa picha au videoView attachment 1323508
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesha wahi kupanda Kiswele, Tawaqal, Zainabs, Sayuni, Mwanahapa etc.
Nifuate inbox
Umesha wahi kupanda Kiswele, Tawaqal, Zainabs, Sayuni, Mwanahapa etc.
Nifuate inbox
Hapo ukiona imetangulia sauli ujur bampa to bampa nyuma ni DPKSure
Leo iko hiviHapo ukiona imetangulia sauli ujur bampa to bampa nyuma ni DPKView attachment 1324025
Sent using Jamii Forums mobile app