Wadau za jioni hii,
Wale ambao mara nyingi tunasafiri kwa njia hii kwa muda mrefu hii njia inabadilisha sana makampuni ya Mabasi.
Yaani hakuna aliyedumu kwa muda mrefu kwa hii route, tangu enzi za Kahama coach, Amit, wakaja Ally's, Leina, Wibonela, City boy, NBS alinusa tu akatoa gari, Green star, Rungwe, JM, Kisbo, Dar lux anaelekea kuchoka na sasa anatawala Frester.
Shida ya njia hii nini mbona kampuni hazikai wakati abiria ni wengi ni tofauti na njia ya Mwanza ambako miaka nenda rudi Zuberi, Najimunisa wapo. Kigoma ndio hawabadiliki KBS. Ngorika na Buffalo Arusha. Tashrif kwa Tanga n.k