Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

Nipo na Abood ya Tunduma kazikata zote hizo New Force na GOLDEN DEER.

15791014498947063903350001918328.jpg
 
Kukimbia kwa gari kunategemeana na Suka aliyeshika chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo umeongea point,ishu sio kwamba Sauli inakimbia sana.Tofauti inaletwa na umahiri wa drivers wake (Mwanyilu na Mwinuka).
Mwanyilu toka enzi alipokuwa na Ilasi marcopolo,alisumbua sana nyanda za juu kusini.

Lakini bado wanasumbuana sana na Zhongtong za Golden deer kupitia madereva wake makini (Linyama,ustadh Rama,Michael power na Jaja).

Njoo huku Kigoma Kasulu,kuna kimondo Ki naitwa Kayengeyenge,hii ilisha laaniwa!
 
Tumepanda Jana mahali fulani na nilifanikiwa kurekodi hadi speed 107km/hr pamoja na mawingu na mvua na hakukua na alarm ya overspeeding wala mini. Ushahidi huu hapa
Screenshot_20200116-113243.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sauli nimewahi kupanda IT ilitusbua sana, kuna maeneo dereva wa IT amekanyagia 120 sauli yupo mbele yetu na hatumpiti, tulikuja kumpita inyala kwa mbinde,,,,,ila ile new force ya tunduma ni habari nyingine aisee
 
acheni mambo yenu basi la abiris 80km/h lakini sgr zenu ni 200km/h,,,,kama speed ndo ajari basi treni ya umeme haina maana

Duh ndugu yangu unajitambua kweli?
Unazijua barabara za tanzania?

Barabara zinapishana magari mawili unalinganisha na sgr yenye one way isiyo na risk ya mashimo na kusema mwendo sio sababu ya ajali?

Fanyia kazi utoto wako tafadhali, utakuja kukosea pasiporekebishika.

Barabara magari yanapishana humo kuna ku overtake kwenye kona au kwenye mlima usipoweza kuona anayekuja upande mwingine, kuna mashimo yanayoweza kupasua tairi, kuna kupasuka kwa tairi kwa uchakavu, yote hayo yakitokea gari ikiwa kwenye mwendo kasi bado akili yako inakwambia sababu ya ajali hapo haitakuwa mwendo??

Mbona uliweza kujifunza kuandika! Akili hizo hizo za kujua kuandika zingetosha kukufahamisha kuwa chanzo pekee cha ajali barabarani ni mwendo kasi, either kwako au kwa dereva mwenzako.

Au mwenzetu umewahi kusikia gari limeangukiwa na mti ghafla barabarani na kuuwa abiria 30 na 30 majeruhi?

Au ndo wale mnaoamini kuna majini yanakunywa damu barabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bus zote top speed ni ya serikal sasa ukisema sauli inakimbia ukiulizwa ilifika mia na ngap hujui....je mwendo wa hatar ni speed ngap kama serikal waliridhia speed flan kama ndo mwsho wa kila bus........ kumbuka hata wakiwekewa speed 50 mwsho bado kutakuwa na wa kwanza na wa mwsho
 
Back
Top Bottom