Speed ya moderm ya airtel sijawahi kuiona

Speed ya moderm ya airtel sijawahi kuiona

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.
 
nitaitafuta ninunue modem yao. ninayo zantel nayo nzuri lkn kama mnasema airtel nayo nzuri, pengine itakuwa bora kuliko zantel. nilikuwa na voda ukiweka alfu kumi inamaliza mara moja...nikaiweka kapuni sasaivi ina karibia mwaka sijatumia...tigo ndo sijaribu kabisa...nasikia kimeo.
 
staff wao nn,mbona mm yangu ipo slow mnoo,u tube video inakatakata kinoma hadi inaboa sasa
 
labda kwako mi naitumia lkn speed ya kinyonga hadi inaboa huwezi hata kudownload
 
Mbona Airtel wiki chache hizi imekuwa kimeo mkuu!! Au wewe umetumwa nini?
 
sijawahi kuona speed ya airtel kwangu ni haizidi 15KB/S downloading speed kuna nn ?
 
hyo ni HSPDA mkuu speed hyo ya 14KB/S kwangu
 
screenshot tafadhali...
hiyo ckeki hapo dodoma town untitled78.JPG
 
kwa mahesabu ya haraka haraka, mpaka udownload file ya 87mb kwa dakika mbili, lazma uwe unazidi 750kb/s (87000/1200). kwa modem za airtel?? hata mie nataka screenshot ukidownload. kama hii.. ambayo ndo maximum speed utakuja ona na airtel
9fvgbn.png
 
Habari jf
Nichukuwe fursa hii kukiri kuwa tangu nimeanza kutumia internet, sijawahi kukutana na internet ya speed kubwa kama hii ya airtel ya sasa, sijawahi. File la ukubwa wa mb 87 ndani ya dk 2 limeshushwa!!!, mnasemaje nyie wanajamvi?.

Bila shaka ww ni Airtel agent uko kazini kuvuta wateja.
 
Back
Top Bottom