Hizi sifaa zita affect acceleration only.. Acceleration ni muda unao tumika kuifikia speed flan .mfano lorry lina acceleration ndogo , piki piki na gar ndogo zina acc kubwa kulingana na ukubwa wake. ..
Upepo , mzigo , taili , air resistance hivi vina affect acceleration kwa kuwa swali la jamaa halijaa jifunga wana zipataje hizo speed . yeye ana sema wamesha zipata na wana kwenda speed sawa. Basi jib liko waz wata fika sawa. Tho kwa undani wake kila mtu atapitia kikwazo chake kumaintain iyo speed
Watu wengi wamekuwa wakisema gar yenye tairi kubwa ina speed kubwa kuliko yenye tairi ndogo ., swali je trector ina kimbia kuliko gar zote..
Kizio cha speed ni km/h au mile /h je lorry na pikipiki zina dashboard inayo soma vizio kwa namna tofauti. Yan labda lorrry ni km/h afu piki piki au gar ndogo ni sm/min
Traffic wana tumiaa torch aina moja (dragon eye) jiulize wana chaguaa mode yoyote pindi wanapo taka kuipiga torch gar kubwa na ndogo mfano pale wanapo kuwa kwenye 50km/h
Kilo moja ya pamba na kilo moja ya unga naamin ni sawa utofauti ni ujazo tuuu au wingi .
Kuna jamaa alikuja na point yeke akasema mabus yana kwenda speed 80+ km/h eti we mwenye gar ndogo ili umpitee bac ina bidi uwe na speed kama 120km/h .. Big noooo
Kumpitaa mwenye speed ya 80 haya ukiwa na 81 uta mpitaa sema utachukua muda mrefu kumaliza kumpita. .
Download app inaitwa navigator au app yoyote inaonyesha speed kwenye simu yako cku ukipata bahat ukapanda basi linganisha speed ya bus na iliyo kwenye cm yako.hapo ndo utajua kizio ni kimoja tu.