SPEED km/h.

SPEED km/h.

Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
Mkuu kuna haja ya kufanya live experiment ya hii kitu ili kuappreciate ukweli!
 
Mkuu mimi sijasoma art Wala science yako unayosema ila ni dereva wa magar makubwa nakuambia kitu practical,sijazungumza speed governor Nazungumzia speed ya gari from manufacturer,hizo youtong na zhongton zinazokimbia hapa TZ mwisho ni 120.
Lakini ikifika 100 Ww na gar yako ndogo ukiwa speed 120 atakupita Kama umesimama.
Lakini Elewa pia Ndio maana sehem unayoruhusiwa kuendesha juu ya speed 50 mwenye gar ndogo ataweza kwenda mpaka 140 lkn gar kubwa 80 kwa mujibu wa sheria
Kwahiyo, tukiwa kwenye vibao vya speed mfano speed 50 wewe unaendesha basi kwa speed 48 na Mimi naendesha starlet kwa speed hiyohiyo unanipita kama nimesimama?!?!
 
You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Speedometer inasoma kutokana na mzunguko wa wheel lever, so hiyo air resistance au ukubwa wa tyre effects zake zote zitakuwa calibrated kwenye wheel lever na kusoma kwenye speedometer.
So gari na pikipiki au hata Bicycle zitafika pamoja Kama speed zao zitabaki constant.
 
Yes sasa chukua pamba na mawe kama zilivyo tumbukiza kwenye maji utaona kama vitafika chini pamoja. Ile ya mawe itaanza nakwambia.
robot la matope...

hapo ushahama kabisa concept

wewe ushawahi zamisha pamba ndani ya maji?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
robot la matope...

hapo ushahama kabisa concept

wewe ushawahi zamisha pamba ndani ya maji?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano wa Albat ni irrelevant!!! Haundani na tunachojadili floatation ina sheria na kanuni zake
 
Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:

Are you asking why the car accelerates faster than the bike at the same speed?
It's because the car's engine has a lot more power than the legs of the biker. The car is likely to have over 100 horse power while the biker doesn't have even 1. Not to mention the torque difference.The car is easily 100x more powerful than the biker.

Source:How the car overtakes a bike when both are travelling at a same speed?
"Kph" ni universal SI unit.

Kama zote zinatembea kwa 80kph lazima zifike sawa.

Torgue na HP zinaifanya gari iweze kumaintain hiyo 80KPH.

Unless uniambie hilo gari na pikipiki vina Horse power na torque moja.
 
kuna vilaza wengi umu ee... 80 kph ina maana itachukua lisaa 1 kumaliza km 80, iweje zote ziende spidi ya 80 alaf gari iwai ? pambaf
 
Back
Top Bottom