V8 vs pikipiki km/h

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
609
619
Wana jamii nauliza tu...

Nina tatizo na KM/H kwenye vyombo vyetu vye usafiri,Naomba waandisi mnisaidie

Mfano pikipiki ikiwa 80km/h na Landcruser V8 ikawa on the same speed,

Je wanafika ponti B ata the same time?

Assume imetoke wakakutana katika speed hiyo

Maana kunawatu watasema ooohh wakianza cruser itakuwa mbele.

Asanteni
 
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki
 
Absolutely YES
 
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki

Kama umesoma physics haina haja ya kufikiria sana. Ukisema 80km/hr maana yake kwa kwa mwendo kasi (speed) unayotembea au kukimbia, kama uki-maintain constantly, other things kept constant basi kila baada yamuda wa lisaa limoja utakua umetembea umbali wa KM80, iwe ni mtu, gari, pikipiki, Kobe, sisimizi, meli, ndege, upepo, Treni etc
 
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki

Rudi shule ukasome tena...

hapo engine capacity haihusiki..

kama pikipiki itatumia dk 20 vivyo hivyo v8

hapa ni muda na uhusiano na umbali.., siyo na chombo...
 
Wana jamii nauliza tu...

Nina tatizo na KM/H kwenye vyombo vyetu vye usafiri,Naomba waandisi mnisaidie

Mfano pikipiki ikiwa 80km/h na Landcruser V8 ikawa on the same speed,

Je wanafika ponti B ata the same time?

Assume imetoke wakakutana katika speed hiyo

Maana kunawatu watasema ooohh wakianza cruser itakuwa mbele.

Asanteni

kwanza 0 to 60kmp zitatofautiana due to acceleration
 
Hawatakuwa the same kufika destination....engine capacity ni tofauti kati ya gari na pikipiki

Ndio maana Lowassa vipaumbele vyake ni

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
4......
5......

Hilo ni somo rahisi lisilohitaji tution.
 
Rudi shule ukasome tena...

hapo engine capacity haihusiki..

kama pikipiki itatumia dk 20 vivyo hivyo v8

hapa ni muda na uhusiano na umbali.., siyo na chombo...

Nimekupata maana nami nilikuwa sijui na nmejibu hivyo makusudi ili nipate darasa na nilijua wanaojua watani quote...thanks
 
kwanza 0 to 60kmp zitatofautiana due to acceleration

Ndio maana akasema assume wamekutana mahali wote wakiwa 80km/hr. Kwamba huku mwanzo assume wame-accelerate sawa au V8 alipomfikia Pikipiki akapunguza mpaka dashboard ikasoma 80km/hr same as pikipiki wa pembeni yake
 
efficient ya machine haiwezi kuwa perfect kwa 100% kwa vyovyote mfumo uliopo kwa v8 na pikipiki ( nayo inategemea ni pikipiki gani ) v8 ina weza ikaiacha hiyo pikipiki japo c kwa umbali mrefu
 
Ukitafuta humu utaikuta hii mada, iliwahi kujadiliwa kwa kirefu sana.
 
wakuu nahisi kuna watu hawajanielewa..

Twendeni kwenye uhalisia,my issue is ILe speed mita ya chombo

SPEED MITER YA PIKIPIKI INASOMA 80KM/H

Na speed miter ya landcruser v8 ina soma 80km/h

Je kama zinasafiri umbali wa kutoka point A to B,watafika sawa, watatumia mda sawa,?basing speedmiter ya chombo na sio outside look au uhalisia.

Hapa issue ni speed miter za kwenye vyombo vya usafiri,je zinasema ukweli? au zimewekwa tu.

Kwahali ya kawaida we know hata konokono,kinyonga they can go kwaspeed ya km1 kwa saa na akenda samabamba na v8 inayo kwenda on the same speed.
 
efficient ya machine haiwezi kuwa perfect kwa 100% kwa vyovyote mfumo uliopo kwa v8 na pikipiki ( nayo inategemea ni pikipiki gani ) v8 ina weza ikaiacha hiyo pikipiki japo c kwa umbali mrefu
Ukiona V8 imeiacha hiyo Pikipiki basi kuna moja kati ya haya matano limetokea,
1) V8 imeongeza mwendo kuzidi ile 80km/hr
2) Pikipiki imepungaza mwendo chini ya 80km/hr
3) Yote mawili hapo juu yametokea,
4) Speed meter ya mmoja wao ni mbovu
5) Speed Meter zote ni mbovu

Swali ;iko based on assumption zaidi
 
efficient ya machine haiwezi kuwa 100% ndio jibu na kwa vyovyote v8 itakaa mbele hakuna kosa kati ya hayo yataifanya v8 kusubiri labda iwe pikipiki yenye spec za kueleweka sio bodaboda za mchina, hizo ndio zitaachwa nyuma sana! jibu zuru ni kwamba hata ziwe mpya vipi haziwezi kuwa perfect kwa 100% na yenye spec kubwa ndio itaongoza
 
wakuu nahisi kuna watu hawajanielewa..

Twendeni kwenye uhalisia,my issue is ILe speed mita ya chombo

SPEED MITER YA PIKIPIKI INASOMA 80KM/H

Na speed miter ya landcruser v8 ina soma 80km/h

Je kama zinasafiri umbali wa kutoka point A to B,watafika sawa, watatumia mda sawa,?basing speedmiter ya chombo na sio outside look au uhalisia.

Hapa issue ni speed miter za kwenye vyombo vya usafiri,je zinasema ukweli? au zimewekwa tu.

Kwahali ya kawaida we know hata konokono,kinyonga they can go kwaspeed ya km1 kwa saa na akenda samabamba na v8 inayo kwenda on the same speed.

chombo chochote hata robot akiwa brand new hawezi kuwa perfect kwa 100% sanasana mwenye spec za kueleweka lazma atamzidi mwingne kwa issu yako labda usihusishe bodaboda za mchina hizo ndio zitaachwa mbali sana labda ungetoa details za aina ya hyo pikipiki maana kuna pikipiki za kuzi fananisha kwa mwendo na v8 haswa kwenye acceleration
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom