Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,249
- 6,507
Mkuu sipingi jibu lako ila vitu vilivyo kwenye motion under gravity uzito unakua ni factor (kubwa) kwa maana nyingine zinakua constant so kuangusha vitu haitaprove.Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lako
Ams chukua mawe kubwa na dogo yaani kg 100 na kg 10 mawili nenda sehemu yenye mteremko kutoka mliman yenye urefu wa let say 10km kisha yabiringishe hayo mawe kuelekea chini litakalofika chini likiwa la kwanza basi ilo ndo jibu la swali lako mzee vitu vingine hatuitaji kufanya ubishi tu ilimradi fikirisha akili yako.
Kwamba ni kweli speed inapimwa kwa mzunguko wa tairi je umejiuliza kabla ya kupost apa kwamba mzunguko mmoja wa tairi la pikipiki ni sawa na mizunguko mingapi ya tairi la gari ama mzunguko mmoja wa tairi la gari ni sawa na mizunguko mingapi ya tsiri la pikipiki ukisha pata jibu kwamba ni tairi lipi linatakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuufikia mzunguko mmoja wa tairi jingine basi jibu utakuwa nalo .
Kuwa yule anayetakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuupata mzunguko mmoja wa mwingine ndo atafika akiwa wa mwisho na uyo mwingine atakuwa wa kwanza kufika and vice versa is true bt if ceter peribus.