Nakuheshimu saana!!
But
Napingana na ulichokiandika kwa sababu
Speed inapimwa kutokana na movement ya chombo ambapo inakua calculated kwa kutumia mzunguko wa tairi. So let's say tairi either la pikipiki au la gari, kwa mzunguko mmoja linaweza kuzunguka na Ku cover mita moja, likizunguka mara 1000 litakua limeitimisha KM!!
KWAHIYO, SPEED YA CHOMBO CHA MOTO HAIPIMWI KWA EITHER RESISTANCE YA UPEPO WALA UKUBWA WA INJINI, INAPIMWA KWA ROTATION YA TAIRI WAKIOANISHA NA UMBALI.
SAMAHANI SO MZURI WA KUTOA MAELEZO KWA KUANDIKA, I WISH NIWATUMIE VOICE NOTE