SPEED km/h.

SPEED km/h.

kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
You are wrong my friends,kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika!!
Wala,ndiyo maana kwa mfano pikipiki ukiendesha speed kubwa mfano kuanzia 100km/hr huwa inaanza kuhama barabara,maana yake air resistance ina effect kubwa!!
ngoja nikuwekee reference hapa ujisomee mwenyewe mkuu!
Mkuu soma hapa utapata mwanga kidogo,pia fungua hiyo link kwa maelezo zaidi ya kitaalam,hapa nimeweka kipande kidogo cha maelezo kutoka kwenye website husika:

Are you asking why the car accelerates faster than the bike at the same speed?
It's because the car's engine has a lot more power than the legs of the biker. The car is likely to have over 100 horse power while the biker doesn't have even 1. Not to mention the torque difference.The car is easily 100x more powerful than the biker.

Source:How the car overtakes a bike when both are travelling at a same speed?
Nakuheshimu saana!!

But

Napingana na ulichokiandika kwa sababu

Speed inapimwa kutokana na movement ya chombo ambapo inakua calculated kwa kutumia mzunguko wa tairi. So let's say tairi either la pikipiki au la gari, kwa mzunguko mmoja linaweza kuzunguka na Ku cover mita moja, likizunguka mara 1000 litakua limeitimisha KM!!

KWAHIYO, SPEED YA CHOMBO CHA MOTO HAIPIMWI KWA EITHER RESISTANCE YA UPEPO WALA UKUBWA WA INJINI, INAPIMWA KWA ROTATION YA TAIRI WAKIOANISHA NA UMBALI.

SAMAHANI SO MZURI WA KUTOA MAELEZO KWA KUANDIKA, I WISH NIWATUMIE VOICE NOTE
 
assume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana tumebishan san hii mada.
Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lako

Ams chukua mawe kubwa na dogo yaani kg 100 na kg 10 mawili nenda sehemu yenye mteremko kutoka mliman yenye urefu wa let say 10km kisha yabiringishe hayo mawe kuelekea chini litakalofika chini likiwa la kwanza basi ilo ndo jibu la swali lako mzee vitu vingine hatuitaji kufanya ubishi tu ilimradi fikirisha akili yako.

Kwamba ni kweli speed inapimwa kwa mzunguko wa tairi je umejiuliza kabla ya kupost apa kwamba mzunguko mmoja wa tairi la pikipiki ni sawa na mizunguko mingapi ya tairi la gari ama mzunguko mmoja wa tairi la gari ni sawa na mizunguko mingapi ya tsiri la pikipiki ukisha pata jibu kwamba ni tairi lipi linatakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuufikia mzunguko mmoja wa tairi jingine basi jibu utakuwa nalo .

Kuwa yule anayetakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuupata mzunguko mmoja wa mwingine ndo atafika akiwa wa mwisho na uyo mwingine atakuwa wa kwanza kufika and vice versa is true bt if ceter peribus.
 
Waambie waangalie misafara ya marais inayoongozwa na pikipiki
Tumia macho yako kuona movement inayokuwepo btn pikipki na gari kwenye iyo misafara ya pres huonagi kuwa the bike inakuwa into high soeed while the car inakuwa into low speed chief jaribu kuexamine vizuri utaligundua ilo mkuu
 
Kwani kilo 50 ya manyoya ya kuku na kilo 50 ya mahindi ipi nzito?
Kg zitakuwa sawa bt box litakalotumika kubeba mawe ya kg 50 na box litakalotumika kubeba manyoya ya kuku yatakuwa tofauti bob kwa ukubwa hayatalingana .
 
labda tueleweshane vizuri

tunazungumzia speed kwa maana ipi?

kama hilo gari na pikipiki zitakuwa kwenye speed moja mf 80km/h na hakuna mabadiliko kwenye speed(acceleration) basi hivi vyombo vitafika muda mmoja kabisa na havitaachana kwa sababu speed inapimwa kwa kugawanya umbali na muda(distance and time)

lakini ikiwa tu kutatokea mabadiliko ya speed (acceleration) then zote zikapanda hadi speed ya mf 100km/h hapa ndio itategemea ni chombo kipi kina uwezo wa kuaccelerate(kuchanganya haraka) na hapo ndio kutatokea gap la muda,aliyechanganya haraka atawahi kufika...lakini ikumbukwe kuwa gap la umbali kati ya vyombo hivi litabaki palepale.

namna nyingine kuweka sawa ni hivi

mnapokuwa kwenye speed moja(gari na bike) gari linatumia nguvu kidogo na pikipiki inatumia ngumu nyingi zaidi ili kumantain hiyo speed,pengine hapa ndio watu wanapozungumzia...lakini hii haina effect yeyote kwenye muda wa kufika,wala hakuna kitakachomuacha mwenzie.

fikiria hii.

unapokokota baiskeli wewe na baiskeli mnakuwa kwenye speed sawa na mtafika pamoja,the same as pale ukaamua kusukuma gari,utalisukuma na speed yako ndio itakuwa sawa na speed ya gari..na hata likiwaka kama dereva atamanage kukanyaga mafuta kupata mwendo sawa na wako mtafika pamoja kabisa.

kwahiyo gari na bike at the same speed zitafika huko muda mmoja.
 
sometimes gari ya rais huwa inatembea huku watu wanatembea pembeni,hapo hata wanaweza kufika mwanza toka dsm endapo tu gari au watu hakuna kitakachoaccelerate
 
Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
 
Hizi sifaa zita affect acceleration only.. Acceleration ni muda unao tumika kuifikia speed flan .mfano lorry lina acceleration ndogo , piki piki na gar ndogo zina acc kubwa kulingana na ukubwa wake. ..

Upepo , mzigo , taili , air resistance hivi vina affect acceleration kwa kuwa swali la jamaa halijaa jifunga wana zipataje hizo speed . yeye ana sema wamesha zipata na wana kwenda speed sawa. Basi jib liko waz wata fika sawa. Tho kwa undani wake kila mtu atapitia kikwazo chake kumaintain iyo speed

Watu wengi wamekuwa wakisema gar yenye tairi kubwa ina speed kubwa kuliko yenye tairi ndogo ., swali je trector ina kimbia kuliko gar zote..

Kizio cha speed ni km/h au mile /h je lorry na pikipiki zina dashboard inayo soma vizio kwa namna tofauti. Yan labda lorrry ni km/h afu piki piki au gar ndogo ni sm/min

Traffic wana tumiaa torch aina moja (dragon eye) jiulize wana chaguaa mode yoyote pindi wanapo taka kuipiga torch gar kubwa na ndogo mfano pale wanapo kuwa kwenye 50km/h

Kilo moja ya pamba na kilo moja ya unga naamin ni sawa utofauti ni ujazo tuuu au wingi .

Kuna jamaa alikuja na point yeke akasema mabus yana kwenda speed 80+ km/h eti we mwenye gar ndogo ili umpitee bac ina bidi uwe na speed kama 120km/h .. Big noooo
Kumpitaa mwenye speed ya 80 haya ukiwa na 81 uta mpitaa sema utachukua muda mrefu kumaliza kumpita. .

Download app inaitwa navigator au app yoyote inaonyesha speed kwenye simu yako cku ukipata bahat ukapanda basi linganisha speed ya bus na iliyo kwenye cm yako.hapo ndo utajua kizio ni kimoja tu.
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
 
Chukua mawe mawili kubwa na dogo yani kg 100 na kg 10 nenda baharini usawa wenye kina kirefu yadumbukize hayo mwe majini kisha yafatilie uangalie litakalofika chini ya bahari likiwa la kwanza basi ndo jibu la sawli lako

Ams chukua mawe kubwa na dogo yaani kg 100 na kg 10 mawili nenda sehemu yenye mteremko kutoka mliman yenye urefu wa let say 10km kisha yabiringishe hayo mawe kuelekea chini litakalofika chini likiwa la kwanza basi ilo ndo jibu la swali lako mzee vitu vingine hatuitaji kufanya ubishi tu ilimradi fikirisha akili yako.

Kwamba ni kweli speed inapimwa kwa mzunguko wa tairi je umejiuliza kabla ya kupost apa kwamba mzunguko mmoja wa tairi la pikipiki ni sawa na mizunguko mingapi ya tairi la gari ama mzunguko mmoja wa tairi la gari ni sawa na mizunguko mingapi ya tsiri la pikipiki ukisha pata jibu kwamba ni tairi lipi linatakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuufikia mzunguko mmoja wa tairi jingine basi jibu utakuwa nalo .

Kuwa yule anayetakiwa kuzunguka mara nyingi ili kuupata mzunguko mmoja wa mwingine ndo atafika akiwa wa mwisho na uyo mwingine atakuwa wa kwanza kufika and vice versa is true bt if ceter peribus.
Huu ni uzushi, baiskeli mzunguko wake ni mkubwa but haimaanishi inakimbia, hapa kinachoongelewa ni kipimo cha speed sio kifaa kipi kinakimbia zaidi.

Mfano mnapokua kwenye residence area ambayo speed yake ni 50Km/h nyote (pikipiki na gari) mnatembea the same speed let's say 45 KM/H gari itaipita pikipiki?!?!

Huo mfano wako wa mawe ni irrelevant kwa tunachojadili hapa.

Hata kama ni binadamu anakimbia kwa speed isiyobadilika ya 20km/h na gari likakimbia the same speed, gari haliwezi mpita
 
labda tueleweshane vizuri

tunazungumzia speed kwa maana ipi?

kama hilo gari na pikipiki zitakuwa kwenye speed moja mf 80km/h na hakuna mabadiliko kwenye speed(acceleration) basi hivi vyombo vitafika muda mmoja kabisa na havitaachana kwa sababu speed inapimwa kwa kugawanya umbali na muda(distance and time)

lakini ikiwa tu kutatokea mabadiliko ya speed (acceleration) then zote zikapanda hadi speed ya mf 100km/h hapa ndio itategemea ni chombo kipi kina uwezo wa kuaccelerate(kuchanganya haraka) na hapo ndio kutatokea gap la muda,aliyechanganya haraka atawahi kufika...lakini ikumbukwe kuwa gap la umbali kati ya vyombo hivi litabaki palepale.

namna nyingine kuweka sawa ni hivi

mnapokuwa kwenye speed moja(gari na bike) gari linatumia nguvu kidogo na pikipiki inatumia ngumu nyingi zaidi ili kumantain hiyo speed,pengine hapa ndio watu wanapozungumzia...lakini hii haina effect yeyote kwenye muda wa kufika,wala hakuna kitakachomuacha mwenzie.

fikiria hii.

unapokokota baiskeli wewe na baiskeli mnakuwa kwenye speed sawa na mtafika pamoja,the same as pale ukaamua kusukuma gari,utalisukuma na speed yako ndio itakuwa sawa na speed ya gari..na hata likiwaka kama dereva atamanage kukanyaga mafuta kupata mwendo sawa na wako mtafika pamoja kabisa.

kwahiyo gari na bike at the same speed zitafika huko muda mmoja.
Asante Mkuu umetoa maelezo mazuri. Atakayeshindwa kukuelewa hapa hata aende mbinguni hawezi elewa
 
Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
Siyo kweli labda speedometers ziwe mbovu.
 
Concept za kifizikia mnazoleta haziwez kuwa proved,nina uzoefu wa kuendesha gar kubwa basi la mikoani na nina gari ndogo,hilo basi likifika speed 80 ili gari ndogo iweze kwenda Sawa nayo lazima liwe 100 speed na ku overtake lazima ndogo iwe 110-120.
Nachosema tumefanya research kabisa
na kwenye tochi inakuaje mkuu

chukulia mfano we na basi lako uko 50km/h na pikipiki ana 70km/h ,hapa mkipigwa tochi nani anakamatwa.
 
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
asante mkuu
 
Waulize vipi juhusu ndege? Hazina matairu zinapokua angani, je ndege kubwa na ndogo kwa same speed zitatofautiana?

Wakiendelea kubisha waambie warudi kwao Kigoma.
Hahahaaaa hapo umeua kaka
 
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine
Hapana mkuu hizo ninadharia zako tu Kuna kitu kinaitwa international standards (SI) kama kifaa kimekidhi viwango hivyo bila kuchakachuliwa, haziwezi kupishana.
 
kwa kifupi kabisa hawawezi kufika sawa kutokana na sababu zifuatazo:
1.Air resistance:Kuna mmoja hapo air resistance ni kubwa kuliko mwingine kwa hiyo atachelewa kufika
2.Ukubwa wa matairi:Kuna mmoja hapo tairi ni kubwa kuliko mwingine

kwanza kabla hujajibu hili swali inabidi ujue maana ya KM/H au hiyo 80km/h, maana yake ni nini nikufundishe

80km/h maana yake utembee/umalize km 80 ndani ya saa moja! sasa maana ya swali ni hivi!

gari likitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 na pikipiki nayo ikitembea kumaliza km 80 ndani ya saa 1 ipi itawahi kufika! ???

the answer is very simple, wote watamaliza km 80 ndani ya 1 hr so wako sawa! no matter other factors maana kwenye swali tayari wamesema km 80 kwa saa 1
 
Back
Top Bottom