Specialist mmoja wa Regency Hosp ni kituko

JUMONG

Senior Member
Sep 16, 2011
107
59
Siku moja kuna rafiki yangu na mkewe walimpeleka mtoto wao kumuona Specialist wakaambiwa walipie 22,000.00 ili kupata huduma na kwa kuwa shida yao ilikuwa ni kumuona Specialist basi wakalipa. Mtoto alikuwa anasumbuliwa na michubuko mdomoni kwa sababu ya upungufu wa vitamin.

Kitu cha ajabu Specialist akamwambia inabidi amcheki mtoto HIV wiki ijayo pia akaendelea kumfokea baba akisema ina maana hajawahi kuwa na nyumba ndogo pia akasema je kama mke si muaminifu anajuaje.

Jamaa akamuomba basi awapime siku hiyo akakataa akawambia waende wiki ijayo. Kitu cha kushangaza ni kwamba huyo aliyejiita ni Specialist hakuwafanyia hata cancelling. Basi jamaa na mkewe waliamua kwenda gvt hospital kucheck wakaambiwa wako negative wote watatu na mtoto kisha mtoto akapata matibabu ikiwa ni pamoja na kushauriwa wampe mtoto mboga za majani na matunda kwa wingi.

Hivyo wakuu kuweni makini na Private hospital za Bongo kuna zingine zina wababaishaji.
 
oooh safi sana afadhali hajawafanyia hio "cancelling" angewakuta wote positive tu ila angewafanyia counselling labda mambo yangekuwa mazuri, ok hao ndio specialist wetu wa voda fasta...
 
Siku moja kuna rafiki yangu na mkewe walimpeleka mtoto wao kumuona Specialist wakaambiwa walipie 22,000.00 ili kupata huduma na kwa kuwa shida yao ilikuwa ni kumuona Specialist basi wakalipa. Mtoto alikuwa anasumbuliwa na michubuko mdomoni kwa sababu ya upungufu wa vitamin.Kitu cha ajabu Specialist akamwambia inabidi amcheki mtoto HIV wiki ijayo pia akaendelea kumfokea baba akisema ina maana hajawahi kuwa na nyumba ndogo pia akasema je kama mke si muaminifu anajuaje.Jamaa akamuomba basi awapime siku hiyo akakataa akawambia waende wiki ijayo.Kitu cha kushangaza ni kwamba huyo aliyejiita ni Specialist hakuwafanyia hata cancelling.Basi jamaa na mkewe waliamua kwenda gvt hospital kucheck wakaambiwa wako negative wote watatu na mtoto kisha mtoto akapata matibabu ikiwa ni pamoja na kushauriwa wampe mtoto mboga za majani na matunda kwa wingi.Hivyo wakuu kuweni makini na Private hospital za Bongo kuna zingine zina wababaishaji.

hujui ukisemacho!!!!na unapotosha!!!!!na hakuna wa kukuamsha sababu umejifanya kujua!!!!!
 
Mi nikikutana na dr. wa namna hiyo atajuta kuzaliwa.
Lazima nimpe makofi hapo hapo. Ujinga sitaki mimi.

pambaf.
 
That was so 'un-professional' and so 'un-ethical'....ukikuta wanandoa/wazazi legelege ndoa inavunjika hapo hapo! Nadhani aliconfuse hizo lesions na utando wa candidiasis ambayo mara nyingi huwatokea watoto wenye HIV (japo si lazima). Hata ingekuwa ni candidiasis, na wazazi ni positive, hakuwa na haki ya kuanza kuwalaumu badala ya proper counselling na ushauri kuhusu matibabu.
 
Mimi Dr alimuangalia tu mwanangu akaandika dawa,ikabidi nibadilishe hospital,mwe walichukua upupu kwenye ngozi maana alikuwa ana malengelenge as if kaungua moto,nakumbuka aliandikiwa antbio isiyo kali na dawa ya kushea inaitwa SEPTIVON.Regency siendi tena
 
huyo ni specilist kweli au rural medical aid, nakushauri ufuatiliye cv yake kama rma uripoti med council. kama ni specilist kweli basi ndiyo sababu watu wanakimbilia india, kila kitu voda fasta
 
Siku hizi hospital kubwa wanazingua kinyama waweza enda ukacheki afya tu ukaambiwa ulazwe na ushauri kuwa ungechelewa kuja hakika ungekufa!
In short hospital za serikali hawana hayo makitu japokuwa wanakuwa na wateja wengi!
Mpe pole huyo Mdau!
 
hakimu mzuri hutoa maamuzi baada ya kusikiliza pande mbili-mtuhumu na mtuhumiwa.ningependa kuona representative wa regency akitueleza upande wa pili wa shilingi.
 
Jamani hospital ni burhani charitable,japo haina jina ila ukilazwa pale wanakutreat vizuri sana na pia madaktari wanakauli nzuri sana
 
Regency sina hamu, nilienda kwa gyno yule mama mhindi nikiwa just curious to know why I am nt ovulating while am getting my MP as normal plus nt preg, was nt searching for a bby just want my body to function normal akanipa clomid bila ya uchunguzi sana nikadevelop ovariaan cyst maumivu niliyoyapata sijawahi tia mguu Regency tena wala kumface yule Dr! Ila kuna siku nitamfuata nimpe feedback ya matibabu yake! Although i know kuna wakti si matibabu yote yatakusaidia ila yule mama angenifanyia vipimo zaidi
 
asikudanganye mtu hakuna hospital bora hapa dar kama mwananyamala
I agree with u mkuu ila kuepuka foleni just find one Dr ambaye anakuwa kama private kwako so whener unaenda pale unamcheki kama yuko zamu ukkifika straight kqa Dr kuliko hayo mahospital ya gharama
 
hujui ukisemacho!!!!na unapotosha!!!!!na hakuna wa kukuamsha sababu umejifanya kujua!!!!!
Ni wewe bwana specialist AKA Voda fasta?? maona hasira zimekupanda hadi povu mdomoni linafoka. Taratibu punguza hasira mkuu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom