Specialist mmoja wa Regency Hosp ni kituko

Siku moja kuna rafiki yangu na mkewe walimpeleka mtoto wao kumuona Specialist wakaambiwa walipie 22,000.00 ili kupata huduma na kwa kuwa shida yao ilikuwa ni kumuona Specialist basi wakalipa. Mtoto alikuwa anasumbuliwa na michubuko mdomoni kwa sababu ya upungufu wa vitamin.

Kitu cha ajabu Specialist akamwambia inabidi amcheki mtoto HIV wiki ijayo pia akaendelea kumfokea baba akisema ina maana hajawahi kuwa na nyumba ndogo pia akasema je kama mke si muaminifu anajuaje.

Jamaa akamuomba basi awapime siku hiyo akakataa akawambia waende wiki ijayo. Kitu cha kushangaza ni kwamba huyo aliyejiita ni Specialist hakuwafanyia hata cancelling. Basi jamaa na mkewe waliamua kwenda gvt hospital kucheck wakaambiwa wako negative wote watatu na mtoto kisha mtoto akapata matibabu ikiwa ni pamoja na kushauriwa wampe mtoto mboga za majani na matunda kwa wingi.

Hivyo wakuu kuweni makini na Private hospital za Bongo kuna zingine zina wababaishaji.

Asante kwa Taarifaa
 
Hao hawacheleweshi kufanya operation mara tu wanampokea an expecting mother!!!
 
Siku moja kuna rafiki yangu na mkewe walimpeleka mtoto wao kumuona Specialist wakaambiwa walipie 22,000.00 ili kupata huduma na kwa kuwa shida yao ilikuwa ni kumuona Specialist basi wakalipa. Mtoto alikuwa anasumbuliwa na michubuko mdomoni kwa sababu ya upungufu wa vitamin.

Kitu cha ajabu Specialist akamwambia inabidi amcheki mtoto HIV wiki ijayo pia akaendelea kumfokea baba akisema ina maana hajawahi kuwa na nyumba ndogo pia akasema je kama mke si muaminifu anajuaje.

Jamaa akamuomba basi awapime siku hiyo akakataa akawambia waende wiki ijayo. Kitu cha kushangaza ni kwamba huyo aliyejiita ni Specialist hakuwafanyia hata cancelling. Basi jamaa na mkewe waliamua kwenda gvt hospital kucheck wakaambiwa wako negative wote watatu na mtoto kisha mtoto akapata matibabu ikiwa ni pamoja na kushauriwa wampe mtoto mboga za majani na matunda kwa wingi.

Hivyo wakuu kuweni makini na Private hospital za Bongo kuna zingine zina wababaishaji.

Hiyo hosipitali pamoja na kuwa na matabibu wa hovyo, lakini pia wana kama kaubaguzi ka rangi hivi. Wakija wahindi wanachangamkiwa sana lakini wewe mwenzangu na mimi golo unapewa matibabu ya hovyo hovyo. Hiyo mimi ndio hosipitali yangu maana nalipiwa na ofisi nayofanyia kazi.

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom