Special Valentine For You Mch. Masanilo...

Hhhmmm embu nidokeze kidogo. . napenda kujua, natamani kujua, NATAKA kujua kama kajitahidi mwenyewe au kalazimika kisa pendekezo katoa mamii MJ1.

Mh Tomaso wewe, hadi uguse!! Lizzy hebu be a lady, its a vaentine month eh!
 
J. Gwalu usimwage Mchele !

Huyu JouneG naona ana mpango wa kuharibu mazima. Kwani hukumwambia Zenji ulionekana wakati ukiangalia possibilities ya kumnukisha mtoto kwa marashi ya pemba?!

(Kuanzia leo naomba niwe dadio wa hiari! Maana nnavyokutetea usikose mke!!)
 
Hahaha. . .kweli bahati imemdondokea baba mchungaji.
 
Mami we unataka kabla siku haijaisha niambiwe "kama sio MJ1 hata nisingekuwepo hapa na wewe.". . . . ??

Hahaha Mpenzi yaani siku akitamka hata sentensi inayofanana na hii, tell me, ndo atajua kuwa mimi ni mwanaharakati wa aina gani! Hatokaa aamini macho yake!
 
Hahaha Mpenzi yaani siku akitamka hata sentensi inayofanana na hii, tell me, ndo atajua kuwa mimi ni mwanaharakati wa aina gani! Hatokaa aamini macho yake!

Eti ehhh. . .haya sasa naenda kwa amani.Akinitenda nakuja kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom