Special Valentine For You Mch. Masanilo...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Is Lizzy,

Mnamatch, mko perfect kwa pamoja. Am giving you an offer of having each other on that day-pendaneni msitendane.

Asprin, Golden Mpolee hajapata nafasi ya kukaguliwa, nakupa offer hiyo!

Mwali, King'asti,Kipipi, Husninyo n.k offer zinaendelea.
 
Hahahahaha. . .we mami wewe. . .
Ndo nini waniuza bila taarifa?Au baba mchungaji kawa domo zege?
 
Hahahahaha. . .we mami wewe. . .
Ndo nini waniuza bila taarifa?Au baba mchungaji kawa domo zege?

Asa we Mwali, ofa huwa zina maswali? Mbona waniangusha tena!!

Mind you Mch. C domo zege, akifunguka huchomoi my friend
 
Asa we Mwali, ofa huwa zina maswali? Mbona waniangusha tena!!

Mind you Mch. C domo zege, akifunguka huchomoi my friend

Hahahaha. . . kwahiyo kutafuna hawezi ila kumeza yeye ndio mwenyewe?Lolz. . .

Haya naacha maswali. . .nakua mtoto mtiifu!!
 
usichekelee sana

hana meno lakini kutwa kaucha na mihogo mibichi.
Sasa sijui huilamba tu
hicho ni kitendawili

Hahahaha. . . kwahiyo kutafuna hawezi ila kumeza yeye ndio mwenyewe?Lolz. . .

Haya naacha maswali. . .nakua mtoto mtiifu!!
 
Post of the year!

Im speechless Lizzy tafadhali malaika wa mbinguni wanashangilia
 
Post of the year!

Im speechless Lizzy tafadhali malaika wa mbinguni wanashangilia

Hahahaha Masa eti malaika wanashangilia dah! Yaani leo ntalala nikitabasamu kwa post hii

Lizzy Baby sisy, this is so romantic my dia please say yes nawe eh!
 
Hhhhmm kwasababu kakuombea MJ1 na malaika nao wanashangilia basi namwambia MJ akwambie kua Lizzy kakubali. . .

My valentine for life! Kuna sherehe kubwa mbinguni inaendelea malaika na watakatifu wote wanacheza na kuimba. Natamani iwe kweli isiishie JF👊
 
Duh kweli vita kubwa sana, masikini!
So Rev Masa, hii mambo ya Zenji nipite nayo? kama kawa? Naiona hapa "Sauti za Busara"
 
Hhhhmm kwasababu kakuombea MJ1 na malaika nao wanashangilia basi namwambia MJ akwambie kua Lizzy kakubali. . .

Aksante baby sisy!!

Mchungaji, LIZZY KAKUBALI KUWA SPECIAL VALENTINE KWAKO.

Nawatakia valentine date njema nyie wawili. Special valentine wish is on its way.
 
Mpendwa ungejua alivyoomba! Mh naogopa kuweka hadharani maana ulivyo hukawii kuniuliza kama sikumtamani japo kiduchu!
Hhhmmm embu nidokeze kidogo. . napenda kujua, natamani kujua, NATAKA kujua kama kajitahidi mwenyewe au kalazimika kisa pendekezo katoa mamii MJ1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom