M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,756
- 117,474
Vladimir Putin said his visit to China is planned for May.
Yap! Lakini hakusema kwa kusifia kama unavyojaribu kutuaminisha hapa..,alichokisema kinaashiria kwamba hii vita itachukua muda mrefu maana kila upande Haina budikujidhatitiUnaambiwa silaha zinzotumika kwenye SMO ni kiduchu tu! Siku NATO wakijichanganya imekula kwao!
Majengo ya kijeshi na viwanda nchini Urusi yanazalisha silaha na risasi zaidi ya zile zinazohitajika kwa vita dhidi ya Ukraine, Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius alisema.
Kulingana naye, baadhi ya silaha zinazozalishwa hazipelekwi tena mstari wa mbele!-waziri wa ulinzi wa Ujerumani.
View attachment 2973745
Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.Yap! Lakini hakusema kwa kusifia kama unavyojaribu kutuaminisha hapa..,alichokisema kinaashiria kwamba hii vita itachukua muda mrefu maana kila upande Haina budikujidhatiti
Russia is producing more weapons than it needs in the war and is already filling up its warehouses, German Defense Minister Boris Pistorius says.
The head of the German Defense Ministry said that with the increase in spending on armaments and the Russian economy being put on a “war footing,” much of what is produced no longer goes to the front, but ends up in warehouses.
Pistorius warned about Putin's further military ambitions.
“You can be naive and say that he is only doing this out of caution. As a skeptical person, I would say in this case that he is doing this because he has plans, or at least he may have plans,” n-tv quoting the German Defense Minister.
Tunaomba kujua idadi ya vifurushi na gharama zake na mpaka Sasa vimebadilisha nn?$400 Million ni kama Trilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
Dah mpaka saizi Ukraine tumeshapewa kiasi cha $178 Billion kutoka kwa washirika wetu kama US, EU, NATO, G7, Japan, South Korea, Australia nk ila kwa masikitiko makubwa tumeambulia kupoteza zaidi ya 20% ya ardhi yetu.Tunaomba kujua idadi ya vifurushi na gharama zake na mpaka Sasa vimebadilisha nn?
Unaambiwa silaha zinzotumika kwenye SMO ni kiduchu tu! Siku NATO wakijichanganya imekula kwao!
Majengo ya kijeshi na viwanda nchini Urusi yanazalisha silaha na risasi zaidi ya zile zinazohitajika kwa vita dhidi ya Ukraine, Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius alisema.
Kulingana naye, baadhi ya silaha zinazozalishwa hazipelekwi tena mstari wa mbele!-waziri wa ulinzi wa Ujerumani.
View attachment 2973745
Hatimaye tumefikiwa😂😂😂
Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.
" The risks of being weakened, even overthrown, in the coming years are high. The risks of impoverishment for Europe are high, so the EU needs a new strategy for growth and development. Europe needs to remain strategically and technologically independent ," explains Macron.
-"Europe must be ready to build relations with Russia after the end of the conflict in Ukraine", emphasizes Macron.

😂😂😂😂 Tuliza boli Dogo
View attachment 2973763
Ni mgonjwa wa dementia.Huyu Macron ni mgonjwa wa akili?
Nani aliwashauri wao EU wavunje uhusiano na Russia na kuiwekea vikwazo?
Read between the lines dude! Hapa alionesha wasi wasi kwa URUSI kuongezeka nguvu kijeshi kinyume na matarajio kwamba ipo vitani,alafu amesema hizo silaha huenda ni maandalizi ya kuivamia NATO mbeleni baada ya kumalizana na Ukraine.Yap! Lakini hakusema kwa kusifia kama unavyojaribu kutuaminisha hapa..,alichokisema kinaashiria kwamba hii vita itachukua muda mrefu maana kila upande Haina budikujidhatiti
Russia is producing more weapons than it needs in the war and is already filling up its warehouses, German Defense Minister Boris Pistorius says.
The head of the German Defense Ministry said that with the increase in spending on armaments and the Russian economy being put on a “war footing,” much of what is produced no longer goes to the front, but ends up in warehouses.
Pistorius warned about Putin's further military ambitions.
“You can be naive and say that he is only doing this out of caution. As a skeptical person, I would say in this case that he is doing this because he has plans, or at least he may have plans,” n-tv quoting the German Defense Minister.
Duu hii Sasa italeta ugonjwa wa moyo.Inavyoonekana, Russia Wana jambo lao kubwa zaidi ya hii ishu ya Ukraine.
Ndio maana Antony Blinken amekimbilia China kuomba Msaada.
Silaha inahitwa nyumba kifaruWarusi na madude ya ajabu.
View attachment 2973795
Shughuli Bado wakati wao wapo Busy na Michango mara Vikao Mrusi Anasonga Mbele nakujichukulia Eneo
Na alisha sema Akichukua Harudishi Vita ikiisha Hayo maeneo Si Ukrein
View attachment 2973811
The collapse is accelerating. Yesterday it was only Ocheretyne and Novobakhmutovka. Now Solovieve has been entered and Russians are reportedly gearing up for assault on Arkhangelsk, which would put everything east of it and west of Novokalinov in a boiler
M' Ukraine halisi, Sina mashaka kabisa kwa uwepo wako,iwe kicheko au kilio, kikubwa uhai tu!Muache kelele tuendelee kushuhudia vizuri game la Russia na Ukraine!
Ha ha haa,aisee we jamaa ni mbabe sana walah.Utaratibu uliopo miaka na miaka ni kwamba vita ndio inachora upya mipaka ya nchi. Hayo maeneo hayarudi Tena
Ni Nyerere tu ndiye aliyeta mambo ya kijanga kwa kutoimega Uganda baada ya ile vita ya Kagera.
Yaani tulifika hadi Kampala halafu tukashindwa kuchora upya mipaka kwa kuimega Uganda.
Kuna concept ya Greater Europe kwa maana ya Ulaya moja kutoka Lisbon hadi Vladivostok. Mpango wa ushirikiano kati ya nchi za Ulaya na Urusi hua upo ila US ndo anaingilia kati kuuvuruga.Hatimaye tumefikiwa😂😂😂
Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.
" The risks of being weakened, even overthrown, in the coming years are high. The risks of impoverishment for Europe are high, so the EU needs a new strategy for growth and development. Europe needs to remain strategically and technologically independent ," explains Macron.
-"Europe must be ready to build relations with Russia after the end of the conflict in Ukraine", emphasizes Macron.
Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.
" The risks of being weakened, even overthrown, in the coming years are high. The risks of impoverishment for Europe are high, so the EU needs a new strategy for growth and development. Europe needs to remain strategically and technologically independent ," explains Macron.
-"Europe must be ready to build relations with Russia after the end of the conflict in Ukraine", emphasizes Macron.
😂😂😂😂 Tuliza boli Dogo
View attachment 2973763
LoL! Maskini!Kituo kinachofata ni Kharkov
Ukraine Government wameanza kufungua mitambo ya viwanda vilivyopo Kharkov na kuviamishia mbali huko Ukraine.
View attachment 2973842