Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,682
- 11,129
Mwamba hata yeye anakataa kuwa sio ISIS
Very nice!Wakati tunaendelea na majadiliano, mkae mkijua IVANIVSKE imeshakombolewa na majeshi ya Urusi.
Nasikia Sasa itwaitwa Ivanoskoye na vita kuhamia Chasiv Yar ambako hapazidi kilomita 16.
Tujiandae na battle of Chasiv Yar kwa upande wa bakhmut sector.
Eti URUSI inapungukiwa silaha? Kumbe humu Kuna vichwa maji!Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.
Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.
Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.
So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
Ukiona panya anamchezea paka,jua shimo lipo karibu(NATO)Pope Francis alishamuonya Zelensky kwamba anyooshe bendera nyeupe juu na aombe vita iishe.
Lakini Zelensky amekuwa mjeuri.
Maelezo mengi sana alafu uongo tu.Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.
Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.
Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.
So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
Hiyo mbana Huwa ni kawaidaNi kweli missiles za URUSI zimevuka mpaka kwenda Poland!!!?
Zinazunguka huko na kurudi kupiga mji wa mpakani wa LvyvNi kweli missiles za URUSI zimevuka mpaka kwenda Poland!!!?
Medvedev is currently deputy chair of the National Security Council. In a Telegram post on Friday evening, he sent condolences to the families of those killed and encouragement to the relatives of the wounded.
So Russia ndo looser mpaka sasa.Hilo la "kuchukua maeneo" nimemjibu mdau huko nyuma ambaye naye alisema hivyo.
Ukraine imeshakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa yakidhibitiwa na Urusi mara tu baada ya ule uvamizi kamili wa 2022. Eneo linalodhibitiwa na Urusi hivi sasa ni dogo kuliko lile ambalo Urusi ilikuwa ikilidhibiti miezi ya mwanzoni mwa uvamizi mwaka 2022.
Silaha zimekuwa zikipungua pande zote.
So far, pande zote zimekuwa zikipokea misaada ya silaha kutoka nje. Hata hivyo Ukraine mpaka hivi sasa inazalisha kwa kasi baadhi ya silaha zake zikiwemo suicide drones. Tumeona jinsi zinavyoleta maafa kwenye vituo vya kusafishia mafuta maeneo mbalimbali ndani ya Urusi. Which means, malengo ya kile kinachoitwa "special military operation" bado hayajafanikiwa.
I concur with Medvedev.“If these terrorists turn out to be the Kiev regime, we can’t deal with them and their ideological inspirers differently. All of them must be found and mercilessly destroyed as terrorists – including officials of the state that committed such an atrocity,” he added.