Hao ndio watarahisisha upelelezi.Ni kweli walikuwa wanakimbilia UKRAINE?
View attachment 2942507
Hao ndio watarahisisha upelelezi.Ni kweli walikuwa wanakimbilia UKRAINE?
View attachment 2942507
Ndomana usa na nato wamewai kukana kuwa sio ukrain, ila esrael nae yupo nyuma subili tusubilie majibu ya putin. Maana kapata sababu ya kuwapiga watu vizuri maana ana support kubwa kwa warusi kwa tukio hili. SMO vision 2.5Anakaribia kuingizwa kwenye mfumo, huenda wahuni walikuwa wanasubiria uchaguzi umalize.
NATO hana uwezo wa kuyatungua hayo makombora kabla ya kufikia destination/target?NATO anaweza kushambulia Libya au irak Ila hatothibutu kukabiliana na makombora ya satarn 11 ambayo yakirushwa vichwa vinatawanyika Ufaransa, ujerumani na uk.
Tuombe Mungu isifike huko maana tuna ndugu zetu.
Kama ni kweli,Basi Ukraine ijiandae11 people, including all 4 terrorists which took part in the terrorist attack at Crocus City Hall, Moscow have been detained – FSB
========
Ni kweli walikuwa wanakimbilia UKRAINE?
View attachment 2942507
Ukraine wameyatimbaThe criminals responsible for the Crocus City Hall terrorist attack intended to cross the border between Russia and Ukraine and had contacts on the Ukrainian side, the FSB said.
Hayo yote mbona Russia kafanya Ukraine, au mkuki kwa nguruwe?Nilipata kuchangia hapo juzi kua jeshi linaloona linaenda kushindwa ndio huanza kuvunja sheria,kufanya uhalifu,uovu na uzandiki.
Ukraine’s military mined LPR territory for destroying civilians — Russian army engineer
LUGANSK, March 21. /TASS/. The Ukrainian military scattered cluster munitions in the Seversk direction of the Lugansk People’s Republic (LPR) with the aim of destroying civilians, the platoon deputy commander with the call sign Khomyak told TASS on Thursday.
"There are a lot of precisely cluster munitions there. They [the Ukrainian military] scattered them upon their retreat and hid them in residential buildings, attics and fields. The main aim was to prevent life from coming to normal on these territories and destroying civilians, all the more so as people and children are returning to some liberated communities. Children run everywhere, play and may come across a mine out of curiosity, without telling adults. So, primarily children suffer from that," the army engineer said.
Walijua atakamatwa...!!!SUBBED: One of the detained attackers says he was recruited on telegram for $11,000 to shoot people
Hawa watu wanachekesha sana mkuuHapana!
MAKOMBORA ya Nato yamwfyatuka bahati mbaya.
Wamening’inizwa huko na wale mbwa maalum wasubiria msosi kazi ya kuhojiwa ikiisha.Polisi watanzania wajifunze sio wakiona tukio la ugaidi wakimkata gaidi wanakimbilia kumuua.
Dawa ni kumakama na kumuminya na kupata chanzo cha ugaidi.
Tukio la Salender polisi walifeli pakubwa.
Mkuu ukipenda pesa kupitiliza matokeo yake ndo haya.Takribani Million 28 za kitanzania zinamuondolea sifa ya utu na uungwana.
========
SUBBED: One of the detained attackers says he was recruited on telegram for $11,000 to shoot people
Hana.NATO hana uwezo wa kuyatungua hayo makombora kabla ya kufikia destination/target?
2001 baada ya New York kushambuliwa, kauli ya Bush kwa dunia ilikuwa "you are either with us or against us".Ukraine na washirika wao wamefanya kosa kubwa sana.