Kapiga wapi wapi na makombora karibu yote yamedakwa tena ni ballistic zilizokuwa zinasifiwa humu kwamba haziwez kudunguliwa? Machache tu ndio yameweza kuoenya na kuangukia sehemu za wazi
Kwa hiyo kilio chote kile cha Zelensk ni mabomu mawili tu? Tena yamepiga sehemu za wazi?

Kuharibiwa kwa miundombinu ya umeme, kumbe ni mabomu yaliyodakwa na mifumo ya NATO?
 
Secretary General of the Security Council Patrushev:

"If Western troops enter Ukraine under any name, Russia will hit them all, declaring them legitimate targets. After this, we won't be bothered in the slightest by any 5th point or anything like that. We are closely monitoring this information and ideas. If they make such a decision, then after that the Russian Aerospace Forces will talk to them."
Katapika nyongo 😂😂

I wish taifa langu liogopwe kama hivi 🙌
 
Nilipata kuchangia hapo juzi kua jeshi linaloona linaenda kushindwa ndio huanza kuvunja sheria,kufanya uhalifu,uovu na uzandiki.


Ukraine’s military mined LPR territory for destroying civilians — Russian army engineer

LUGANSK, March 21. /TASS/. The Ukrainian military scattered cluster munitions in the Seversk direction of the Lugansk People’s Republic (LPR) with the aim of destroying civilians, the platoon deputy commander with the call sign Khomyak told TASS on Thursday.

"There are a lot of precisely cluster munitions there. They [the Ukrainian military] scattered them upon their retreat and hid them in residential buildings, attics and fields. The main aim was to prevent life from coming to normal on these territories and destroying civilians, all the more so as people and children are returning to some liberated communities. Children run everywhere, play and may come across a mine out of curiosity, without telling adults. So, primarily children suffer from that," the army engineer said.
Kama nilivyosema,Ugaidi ni dalili mojawapo njia ya jeshi lililozidiwa katika uwanja wa mapambano..
 
Mheshimiwa MZANZIBARI,
Nahisi concern Yako,huenda unaonya juu ya mashambilizi anayofanya Ukraine kwenye facilities za Urusi,mfano visima vya mafuta,majengo ya serikali na hata maeneo ya jeshi.

Kwa mtazamo wangu naona haya mashambulizi anayoyafanya Ukraine hayana mafanikio kijeshi kama vile kukomboa eneo au Kuua askari wengi wa adui,Bali yamejikita katika kutia hasara.
Mtindo huu wa mashambulizi hufanywa na jeshi linaloelekea kishindwa na ni dalili ya kukata tamaa.
Mshambukizi haya yamekaa mfano wa mashambulizi ya kigaidi.

Na Ukiona jeshi limeanza kufanya vitendo vinavyofanana na vya kigaidi ujue maana yake limeona linaenda kushindwa.
Hebu fikiria jeshi la ujeremani linapanga mpango wa kulipua daraja la Urusi,hiyo ni dalili ya kishindwa kwenye uwanja wa vita.
Hata katika mchezo wa mpira timu yenye uhakika wa ushindi hua haichezi rafu,Bali timu iliyozidiwa ndio hucheza rafu.
Haiwezekani timu yenye matokeo mazuri ikaanza kucheza rafu.

Vivyohivyo kwenye vita,hata ingekua Urusi ndio inashindwa nayo ingeanza kufanya mashambulizi yasiyo na faida Bali kutia hasara adui.
Ukraine inajua inaenda kushindwa hivyo wanashambulia kwa drone maeneo ya Urusi kwa ajili ya kutia hasara na kusababisha uharibifu,hayo sio mashambulizi ya kimkakakati kwa ajili ya kumshinda adui,ama kukomboa maeneo ama kumrudisha nyuma.

Haya ni mashambulizi yasiyo na faida na hayatabadilisha chochote.
Huko mbele Ukraine itaanza uporaji na kuharibu miji,ubakaji na kitega mabomu katika maeneo wanayoyakimbia.
Hizi ndizo dalili za mwisho za vita hii,Ukraine inaelekea kuinua bendera nyeupe.
Na hivi vitendo vya kigaidi vitaongezekq kidogo huko ndani ya Urusi lkn vitakomeshwa.
Rejea vita na Chechen.
 
Je kuna wahuni wameshaingizwa kwenye mfumo?

Ikithibitika kuwa ni kweli:-

Je kuna wahuni watakaokuwa tayari kuwasaidia magaidi?
Bwana macron upo.

Ukimsaidia gaidi basi nawe ni gaidi.
1711138366826.png
 
🤦‍♂️ People need to chill for a moment and think this through.


Even if 100k NATO soldiers could be magically transported to Ukraine, they would have: no armor, no air support, no logistics.


It would take at least a year for NATO to assemble a force sufficient to even attempt to do anything meaningful in Ukraine. And they would still get slaughtered.
 
Jamaa wamewahi kujitoa haraka! Vipi mbona haraka na mapema sana??

1)​

US official says its intelligence confirms Islamic State claim​



The US has intelligence confirming Islamic State's claim of responsibility for the attack, an American official has said.


Speaking on condition of anonymity, the official said the US had warned Russia in recent weeks about the possibility of an attack.


"We did warn the Russians appropriately," the official told Reuters.

2)​

Kyiv says Ukraine had nothing to do with concert attacks​



Kyiv has said it had nothing to do with the attack at the Crocus concert hall.
Ukrainian presidential adviser Mykhailo Podolyak said:


"Let's be straight about this, Ukraine had absolutely nothing to do with these events.



 
Jamaa wamewahi kujitoa haraka! Vipi mbona haraka na mapema sana??

1)​

US official says its intelligence confirms Islamic State claim​



The US has intelligence confirming Islamic State's claim of responsibility for the attack, an American official has said.


Speaking on condition of anonymity, the official said the US had warned Russia in recent weeks about the possibility of an attack.


"We did warn the Russians appropriately," the official told Reuters.

2)​

Kyiv says Ukraine had nothing to do with concert attacks​



Kyiv has said it had nothing to do with the attack at the Crocus concert hall.
Ukrainian presidential adviser Mykhailo Podolyak said:


"Let's be straight about this, Ukraine had absolutely nothing to do with these events.



Waacheni wenyewe wafanye uchunguzi, Nani asiyejua Fsb? Ila cpati picha Kama Ufaransa anausika na hili shambulio.
 
🤦‍♂️ People need to chill for a moment and think this through.


Even if 100k NATO soldiers could be magically transported to Ukraine, they would have: no armor, no air support, no logistics.


It would take at least a year for NATO to assemble a force sufficient to even attempt to do anything meaningful in Ukraine. And they would still get slaughtered.
Usipime, mkuu. NATO ikiingia rasmi Ukreni, hivyo vita ni balaa kwa pande zote mbili.

Tuombe hayo yote yasitokee. Maridhiano ya amani ndiyo namna pekee ya kuishinda vita na kuinusuru dunia.

Ni wazi kwa yeyote kwamba Urusi imejizuia sana katika operesheni zake Ukreni, licha ya chokochoko na uhasama wa wazi anaofanyiwa na mahasimu wake.

Inatambua fika kwamba wao na Ukreni ni mtu na ndugu ambao wamechonganishwa na kugombanishwa na adui kutoka mbali asiyewatakia mema.

Sasa Urusi afanyeje wakati mdogoe ameshaamua kuungana na adui?

Ndiyo maana Putin anatembeza kichapo kwa masikitiko na huruma kwao akitarajia huenda wataweza kujitambua na kujirudi.

Huu ni uamuzi mzito mno kwa Urusi kwani anaelewa kwamba matokeo yawe chanya au hasi kwa Marekani na washirika wake, wao hawana la kupoteza.

Urusi amepiga hatua kubwa sana ya mafanikio kwenye SMO -- kijeshi, kisiasa, kiuchumi na uhusiano wa mataifa ya nje.

Nchi ya Urusi imeshikamana katika umoja wa kitaifa kuliko wakati wowote wa historia yake ya hivi karibuni.

Kufuatia hilo, mataifa mengi duniani yamepata ujasiri mkubwa na matarajio mema dhidi ya dhulma, uonevu na uburuzaji waliokuwa wakifanyiwa waziwazi na Amerika.

Marekani na washirika wake wasingependa kuona Putin akifanikiwa hivyo, huku wao wakidhalilika.

Ndiyo maana watatumia kila mbinu ili kuzua vurugu na vitendo vya kihalifu na kigaidi kila mahali duniani ili tu kufidia fedheha ya Ukreni.
 
Back
Top Bottom