Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,462
- 5,420
kabisaUnajua huyu jamaa asinge kuwepo labda Uzi ungefumgwa maana ndio amebaki pekee yake kutoka team upinde

Wewe lazima utakua ulipata Demu Odessa sio Bure,maana sio Kwa mahaba haya.I love oddessa
Afya ya akiri hakika.Sababu zipo, nyingi lakini hizi ni chache;
Mpaka sasa Ukraine amepewa msaada wa dola za kimarekani Bilioni 74 ambazo ni zaidi ya Trilioni 150 za kitanzania, ambazo zilitumika kununua silaha za kisasa kabisa kutoka NATO. Msaada huo wa kijeshi haujazaa matunda yoyote baada ya Counter-Offensive ya Ukraine kugeuka kuwa Meat-Grinder na kusababisha hasara kubwa mno kwa vikosi vya Ukraine. Inadaiwa kwamba wanajeshi zaidi ya laki tatu wa Ukraine wamefariki tokea mwaka 2022. Mtu yoyote anayefikiri vizuri hili lazima limuogopeshe.
Mbali na hapo, Prof John Mearsheimer anasema moja ya sababu kubwa ya Ukraine kufanya vizuri siku za mwanzo ni kutokana na msaada mkubwa kutoka vikosi vya kijeshi vya NATO na mashirika ya Ujasusi ya THE FIVE EYES OF INTELLIGENCE. Imezidi kufahamika kwamba SAS, NAVY SEALS, CIA, MI6 na BND wanafanya kazi na vikosi vya Ukraine kwa karibu, kwa kutoa mafunzo na kuongoza oparesheni zake. Mkuu wa Ujasusi wa Ukraine, Kirill Budanov amepata mafunzo ya CIA tokea mwaka 2014. Kinachoshangaza, mbali na msuli mkubwa wa NATO na G7, bado mpaka kufika sasa hawajaizuia Urusi kusonga mbele, japo kwa taratibu sana.
Vikwazo zaidi ya 15000 vya G7, EU na NATO kwa nchi moja, ambayo uchumi wake ni asilimia 4% tu ya uchumi wa dunia (Global GDP), vimegeuka kuwa baraka kwa Urusi. Jana nilikuwa namsoma mchumi nguli, Prof James K. Galbraith wa taasisi ya NEW ECONOMIC THINKING ambapo aliandika chapisho lake linalosema "The Gift of Sanctions: An Analysis of Assessments of the Russian Economy 2022-2023", ambapo anaandika kwamba vikwazo vimeubeba sana uchumi wa Urusi kuliko kuumiza. Akataja sababu kwamba vikwazo vimeifanya Urusi iwe nchi ya kujitegemea (An Autarky) ambapo Warusi wamenufaika na biashara za mashirika ya Magharibi yalioondoka tangu vita ianze.
Mwaka 2013, takwimu za IMF na WB zilisema kwamba uchumi wa Urusi (GDP) ungeanguka kwa asilimia 12% ndani ya muda mfupi, lakini baadaye wakabadilisha takwimu na kusema umeanguka kwa asilimia 3% tu kutokana na vikwazo. Upande mwingine wametoa takwimu nyingine za makadirio ambazo zinasema uchumi wa Urusi unafanya vizuri na utakuwa kwa asilimia 3.5% ndani ya mwaka 2024. Huku ikifahamika kwamba uchumi wa Urusi unachuana na wa Ujerumani kwenye Purchasing Power Parity (PPP).
Mtu akifuatilia haya ni lazima ufahamu kwamba Ukraine is a lost cause.
Komredi hiyo ni ngumu!Europe nzima imechanganyikiwa baada ya kuona Russia inazidi kusonga mbele. Macron anashawishi NATO wajiingize mazima.. sijui watakubali?
KweliUnauliza kuhusu Ukraine? NATO wanampango wa kuingia rasmi baada ya kuona Ukraine inazidi kuteketeza wanajeshi Plus vikwazo vyao vyote ya uchumi, mabilioni ya dola kama mkopo / aid kwenda Ukraine, silaha, planning, intelligence ku fail
Ku avoid hii aibu ya efforts za nchi takribani 30 kushindwa na nchi wanampango wa kuingia Russia ku save face.
Putin alishasema, ni aidha kuna Russia huru au hakuna Russia kabisa, mkubwa utaelewa ana maanisha nini.
Nina hamu kuwapangisha Wazungu kwa bei kubwa hili wafidie Mali walizotupora.Kuna watu hawaelewi, Ukraine ishapigwa, kushindwa vita kunajulikana mapema
Hitler na majeshi yake walijua kabisa miaka 2 kabla kuwa tayari washashindwa
Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanauliwa kila siku, issue sio tena silaha, issue ni man power, hakuna watu wa kufanya tena offensive Ukraine
Hawa "Collective west" hawawezi kubali hii aibu, so wapo tayari kuchoma dunia nzima kibiriti kwa kuanzisha WW3
Mda huo huo, viongozi wa Africa sijui kama wamejiandaa vipi na hii issue in case dunia inaingia vitani
Nyakati kama hizi, hakuna Laws wala Orders, tusishangae kuona wazungu tena wanakuja
Nahisi wameanzisha Vita hiyo hili kupata kisingizio Cha kujiondoa Urusi.wengi wamekimbilia kwa Israel, Ukraine wameshaona huko wanaaibika tu
Hatakiwi kufa mpaka tumkamate halafu tukamnyonge Donetsk au MoscowMmesikia yaliyompata Zelle huko Odesa ? Endeleeni kufuatilia anaweza kuwa katangulia mbeleya haki.
Na kabla ya kunyongwa lazima tumsainishe kua Ukraine ni sehemu ya Russia nankua amekubali kushindwa vita.Hatakiwi kufa mpaka tumkamate halafu tukamnyonge Donetsk au Moscow
Hebu tuambie Mkuu,umetuachia sintofahamu.Mmesikia yaliyompata Zelle huko Odesa ? Endeleeni kufuatilia anaweza kuwa katangulia mbeleya haki.
Drone umepiga Mita 20 toka alipo kuwa na Waziri Mkuu wa Ugiriki.Mmesikia yaliyompata Zelle huko Odesa ? Endeleeni kufuatilia anaweza kuwa katangulia mbeleya haki.
nyie pro Russia huwa mnashusha nondo kama vile ni KGBSababu zipo, nyingi lakini hizi ni chache;