mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,110
- 21,657
Official mji umeenda
View attachment 2906524ilikuwa ngome yao kuu ya ulinzi sasa imeondoka
Official mji umeenda
View attachment 2906524ilikuwa ngome yao kuu ya ulinzi sasa imeondoka
Mi nashauri wachague wenyewe kati ya kufa au kwenda kupika😂😂😂
Mi nashauri wachague wenyewe kati ya kufa au kwenda kupika
Vuta subra kidogo,hawa west wapenda LIWATI tuwape funzosiku hivi vita vikaisha nitafurahi sana. Naomba Mungu hivi vita viishe.
HeheeeePresident Putin: "The only thing we can regret is that we did not start our active actions in Ukraine earlier, believing that we were dealing with decent people."
Hawa majamaa hawana akili hata kidogo wapuuzi hawa
Inabidi Vita icheleweshwe sababu lengo la Putin halijakamilika la kupunguza thamani ya Dora na kupaisha uchumi wa Urusi sambamba na kuidharilisha US na NATO yake na kwa Sasa hakuba asiyejua kuwa ubora wa silaha zao ni ktk media ila ground ni zero.Heheeee
PUT IN hua ananikera sana huyu bwana awatie tactical nyuklia pale kivu tuone wanavyo tapa tapa wale magaidi ya kinazi anawachekea sana
PUT IN roho yake nzuri ndio inayomponza huyu bwana
Naona DW wanatoa taarifa kinyonge sana!!