Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 871
- 2,639
Ndio comredi!Kuna mchambuzi Moja kasema hii itakuwa Russia aliamua kutest air defense za NATO aone kama ziko viti.
Hii inathibitisha Ile kauli ya Rusha kwamba anaweza twanga Europe ndani ya masaa machache mno
Nimefarijika mno kuona kinzal ikipita juu ya Ulinzi wa anga wa US na NATO.