RUSSIA anapigana kimkakati sana kadri UKRAINE anavyokaza shingo ndio anapotea DUNIANI
Supa-pawa kashindwa kabisa kuvimaliza Vita kwa ushindi ndani ya mwaka mmoja......... angekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo kama aliwahi kuwepo.
 
Israel admits to secret aid to Ukraine

Israel provides Ukraine with more assistance than it seems at first glance. This was stated by the country's ambassador to Germany, Ron Prozor.

“We help, even if behind the scenes, and much more than is known,” Prozor said in an interview with the German Funke Mediengruppe.

The ambassador clarifies that Israel also prefers to remain in the background due to the Russian presence in Syria.

Israel has previously stated that it is afraid to supply Ukraine with the Iron Dome anti-missile defense system because of Russia, since the Russian Federation could intercept these technologies.
Hii Inazidi kudhihilisha kwamba Kila mwenye akili anasimama na Ukraine.., pamoja na kwamba Putin ameshaharibikiwa katika hii vita ,ni wazi Sasa atazidi kuharibikiwa zaidi na zaidi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ushawahi kujiuliza kama vita ikiendelea kwa muda mrefu nini kitatokea?
Hali ikiendelea hivi vita ya tatu haiepukiki.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Screenshot_20230127-081631.jpg

Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
 
Ukraine tu imemtoa jasho mwaka mzima......ingekuwa anapigana na NATO huyu Supa-pawa wa mchongo tungeshamsahau kitambo.

Ukraine hawa uwezo wa kupigana na Russia! Ww unaona ni Ukraine ndo anapigana na Russia lakini ndani yake kuna mengi sana yanaendela! Ni Russia vs NATO & the west! Kama hujui, Ukraine ni eneo la mapambano tu ila wapiganaji wengi sio waUkraine wenyewe!
 
Back
Top Bottom