Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,015
- 16,148
Mpumzishe MALCOM LUMUMBA ... Huyo ni mzeee wetu aliyekuwa anakaa nasi kwenye vioto akituhadithia .... Na tumejifunza vyema kwake ... Nahisi amenikua kidogo ... Na ametukua wengi ...huyo Mzee muacheni... NAMI nazeeka nawaachia vijana majukwaaaa ..... Ila akichapwa vizuriiii vizuri Ukraine narudi kutoa .. URAAAAAAA URAAAAAAA.......Basi nahitimisha kwa kukuambia kwamba katika Thread hii Pro Russia ukweli mmeonesha uwezo mkubwa usii na kifani katika ufahamu wa mambo,ujengaji wa hoja,upanguaji wa upotoshaji, kumudu mijadala na kuchambua mambo mbalimbali..
Ukweli mmelitawala kabisa jukwaa hili.
Uzuri sio Mimi TU nimekusifia Bali watu makini wamekua wakiwasifua.
Unajua hata shuleni,mwalimu mahili hua anafahamika.
Kwa kifupi woooote kabisa Pro Russia mko vizuri sana.
Ila mchango wako Galip vrl na ASK-Q ni mkubwa na WA kipekee sana.
Nyie mmegeuka kuwa waalimu kwetu.
Lakini je unajua Malcolm Lumumba?