This got me thinking, just me thinking, msiseme namfufua marehemu

Angekuwepo yule mwamba [JPM] inawezekana angetoa li speech moja la kibabe sana hadi tungeunganishwa kwenye sanctions, maana kwa akili zake yule........

Cha ajabu tungekuwa proud maana tushaaminishwa tunajiweza👊💪. Basi tu labda kusudi lilikuwa jema wacha tuishi humo. Yamepita hayo. Tutakukumbuka mwamba.
 
9.9
 
NATO wanangojea nn wakamzuie !!!??
 
Better yet alichokifanya na anachokifanya Putin kime prove maneno ya Nyerere na JPM uchumi wa kijamaa unao jitegemea. Alichonacho awe valued kulingana na utajiri wa rasilimali,vivutio na maeneo yake sio kuprint pesa kitapeli wakati huna lolote Bali siasa. This time round, dunia inabadilika sasa kutoka kwenye paper nakurudi kwenye assets kama madini, wanyama, ukubwa wa maeneo nchi kavu na bahari.
 
Yaan wanatakiwa wafe kwawingi sana
Ua hao UKRO NAZI wote
 
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.

Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
Acha awaue watazaliwa wengine
Ua hao UKRO NAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…