Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,646
- 20,984
Nikujuzwe nyingi za nchi za muunganiko huo hawautaki na muunganiko huo unaongozwa kimabavu wako frustrated kweli kweli na walevi kupindukia.Yaani Wewe umekaa mashenzini huko unakula kiti moto unadhani ni mwerevu kuliko Watu woote mil 144 pale Urusi hawaoni hatari inayoikabili nchi yao wala chochote..Let me tell you...Unajua kidogo sana kuhusu Urusi..wanazo Plan zote zingine ungejua utalia na kujamba...Ogopa sana hii Sio Zimbabwe....Hii Inaitwa Russia Federation....