Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 11,673
- 22,166
Poa sheikh wangu,ngoja niendelee kujitafuta mwezi nifanye safari ya mtendeni hapo mimi mwenyewehatuna
Poa sheikh wangu,ngoja niendelee kujitafuta mwezi nifanye safari ya mtendeni hapo mimi mwenyewehatuna
Karibu nduguPoa sheikh wangu,ngoja niendelee kujitafuta mwezi nifanye safari ya mtendeni hapo mimi mwenyewe
Hatimae nikajilipua Nairobi nikapata mzigo wangu wa TCL QLEDNataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?
Wajuzi swali kwenu majibu kwangu
Alisema hana nami nikajikaza nikaenda kwa watani zetu nikachukua TCL QLED 55inch kwa 82,000/= ya KenyaAkikujibu nitag. Nataka nchi 65 nimeuliza bei huko juu sijaambiwa.
Wakuu bado sijapata bei.. kama kuna mtu anauza hizo tv anicheki nipo DarWakuu naomba bei elekezi ya Boss au TCL inch 43.
Mzee 400 hatufanyi biashara?Kuna Blackstone Smart tv 45" inapatikana kwa 520,000/=. Kama unahitaji piga hii namba 0748288925,iko Tabata Bima Dar es Salaam.
Qled ndio inakuwaje mkuu?Alisema hana nami nikajikaza nikaenda kwa watani zetu nikachukua TCL QLED 55inch kwa 82,000/= ya Kenya
Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.Qled ndio inakuwaje mkuu?
Nzurii basi...nitasubiri Abdulwahid alete.Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.
Alafu TCL wamejiongeza hizi tv zinakuwa na sound bar ya nje Ila Ile yenye sound bar ya ndani inakuwa na camera hvyo unaeza itumia kwenye tv au PC
Msikilizie ukiona unachoka nitume au nikuachie hii Kama kiu kikikuzidi.Nzurii basi...nitasubiri Abdulwahid alete.
Mkuu me hizo nnazo zamani mbona, huyo mdau hakusema anataka 55, alisema anataka 65" 55" me nauza 1.65mNzurii basi...nitasubiri Abdulwahid alete.
Na mimi nataka 65" maana 55" ulishaniuzia ile ya 4k. Si utaleta 65".Mkuu me hizo nnazo zamani mbona, huyo mdau hakusema anataka 55, alisema anataka 65" 55" me nauza 1.65m
in shaa AllahNa mimi nataka 65" maana 55" ulishaniuzia ile ya 4k. Si utaleta 65".