Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuna Blackstone Smart tv 45" inapatikana kwa 520,000/=. Kama unahitaji piga hii namba 0748288925,iko Tabata Bima Dar es Salaam.
 
Nataka nijilipue na TCL 65inch lile toleo jipya la Sasa sijui qled Sasa tunajua Tanzania bara hv vitu n ghali mno vp Bei nafuu Ni wap Kati ya Zanzibar na Nairobi?

Wajuzi swali kwenu majibu kwangu
Hatimae nikajilipua Nairobi nikapata mzigo wangu wa TCL QLED
IMG_20210827_123234_7.jpg


Japo Nairobi niliambiwa Kuna matapeli kibao mmoja wao n yule niliesema ataniuzia kwa Ksh 40,000/= kumbe ukilipa anakuja boss wao anasema hyo tv haiuzwi kwabei hyo hvyo ongeza pesa na pia ikitoa hela hairudi hvyo ukicheza unaeza rudi nyumbani na virton 32ich.

Screenshot_20210813-204728.png
in

Nashukuru nilipata duka salama nikaudumiwa vizuri saiz nakula mzigo wa TCL taratibu
 
Qled ndio inakuwaje mkuu?
Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.

Alafu TCL wamejiongeza hizi tv zinakuwa na sound bar ya nje Ila Ile yenye sound bar ya ndani inakuwa na camera hvyo unaeza itumia kwenye tv au PC
 
Hii n quality ya picha baada ya 4k yan ndio toleo lasasa la screen n Bora zaidi ya 4k.

Alafu TCL wamejiongeza hizi tv zinakuwa na sound bar ya nje Ila Ile yenye sound bar ya ndani inakuwa na camera hvyo unaeza itumia kwenye tv au PC
Nzurii basi...nitasubiri Abdulwahid alete.
 
LG 43 inch LED TV @ 925,000tsh. For sale.
IMG_4857.jpg

Ni mpya kabisa
usafiri bure
hdmi bure
bracket bure
1 year warranty

Tupigie 0744551655 kwa maelezo zaid au fika dukani kwetu magomeni kwa amaelezo zaidi.
 

Attachments

  • IMG_4857.jpg
    IMG_4857.jpg
    1,006.2 KB · Views: 10

Similar Discussions

Back
Top Bottom