Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hatimae nikajilipua Nairobi nikapata mzigo wangu wa TCL QLEDView attachment 1911022

Japo Nairobi niliambiwa Kuna matapeli kibao mmoja wao n yule niliesema ataniuzia kwa Ksh 40,000/= kumbe ukilipa anakuja boss wao anasema hyo tv haiuzwi kwabei hyo hvyo ongeza pesa na pia ikitoa hela hairudi hvyo ukicheza unaeza rudi nyumbani na virton 32ich.

View attachment 1911043 in

Nashukuru nilipata duka salama nikaudumiwa vizuri saiz nakula mzigo wa TCL taratibu
Duka gan ulipata
 
Hisence 43inch smart tv mpyaa kabisa.@820,000tsh

IMG_4323.jpg

usafiri bure
hdmi bure
bracket bure
1 year warranty

Tupigie 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo zaidi.
 
Hatimae nikajilipua Nairobi nikapata mzigo wangu wa TCL QLEDView attachment 1911022

Japo Nairobi niliambiwa Kuna matapeli kibao mmoja wao n yule niliesema ataniuzia kwa Ksh 40,000/= kumbe ukilipa anakuja boss wao anasema hyo tv haiuzwi kwabei hyo hvyo ongeza pesa na pia ikitoa hela hairudi hvyo ukicheza unaeza rudi nyumbani na virton 32ich.

View attachment 1911043 in

Nashukuru nilipata duka salama nikaudumiwa vizuri saiz nakula mzigo wa TCL taratibu

Vipi ulivushaje kuja TZ
 
Vipi ulivushaje kuja TZ

Inapita custom inakadiriwa Kodi sema sio Kali unapata risit ya Kodi basi njia nzima usumbufu hakuna bila hyo karatasi ya Kodi mzee inaeza kula kwako au uwapate wale magwiji na hapo utasafirishiwa mpaka Arusha tuu Sasa kuitoa hapo mpaka kwako ukikutana na hawa ndugu zetu huna karatasi unaambiwa umeiba Sasa inshu ndo hapo
 
Asante boss nimekupata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom